Bajeti ya wizara ya nishati na madini inawasilishwa kesho bungeni,nani ataiwasilisha?

Wizara haina waziri,je nani ataiwasilisha bajeti?

Je bunge litakubali kumsikiliza naibu waziri akiwasilisha bajeti?
Wabunge wa Ccm hawana shida
Hata wakiambiwa ipite bila kusomwa wao poa tu.. Kama sheria za rasilimali wanapitisha kwa hati za dharura usiku bila wapinzani itakuwa kupitisha bajeti bila waziri??? Kujua kusoma na kuandika
 
Back
Top Bottom