Wisertz
JF-Expert Member
- Jul 2, 2018
- 219
- 302
Asante kwa wazo lako, nilikopa pia nikanunua asali, nilipata vizuri tu, hili la korosho ni fursa ya kuitizama pia. Narudia tena, asante.Kakope sasa hivi ununue korosho maana unauthubutu.
Asante kwa wazo lako, nilikopa pia nikanunua asali, nilipata vizuri tu, hili la korosho ni fursa ya kuitizama pia. Narudia tena, asante.Kakope sasa hivi ununue korosho maana unauthubutu.
Kwenye hiyo bajeti kuna fungu la kuibua MV NyerereKwa wajuzi wa mambo, fedha za kununua korosho zitatoka kwenye fedha za maendeleo au zitatoka kwenye matumizi ya serikali?
Je, zikishatoka na kutumika ni Nani anakuja kukagua kama tumepata hasara au faida?Je, korosho inaweza kuingia kwenye bajeti ya mazao ya chakula?
Tuelimishane
Kwa wajuzi wa mambo, fedha za kununua korosho zitatoka kwenye fedha za maendeleo au zitatoka kwenye matumizi ya serikali?
Je, zikishatoka na kutumika ni Nani anakuja kukagua kama tumepata hasara au faida?Je, korosho inaweza kuingia kwenye bajeti ya mazao ya chakula?
Tuelimishane
Hela ya kinunulia korosho ni nyingi sana ni zaidi ya million $350 kwa msimu serikali haina hiyo pesa labda wasitishe mishahara ya watumishi wa umma kwa miazi kadha..... Ila tunahitaji mipango kwanza kutekeleza hilo, uchumi hauwedeshwi kwa matukio plz.
Kasema atatumia jeshi kununua korosho halafu JKT watabangua kwa menoHapo ndio utajua tuna RAIS wa namna gani "MKURUPUKAJI"
Mwisho wa kutunisha misuli , wakulima walikuwa wako vizuiri mpaka sirikali ilipoamua kuiba hela zaoKwa wajuzi wa mambo, fedha za kununua korosho zitatoka kwenye fedha za maendeleo au zitatoka kwenye matumizi ya serikali?
Je, zikishatoka na kutumika ni Nani anakuja kukagua kama tumepata hasara au faida?Je, korosho inaweza kuingia kwenye bajeti ya mazao ya chakula?
Tuelimishane
Nipo pesa zetu za ndani ambazo tunaweza kununulia korosho.Kwa wajuzi wa mambo, fedha za kununua korosho zitatoka kwenye fedha za maendeleo au zitatoka kwenye matumizi ya serikali?
Je, zikishatoka na kutumika ni Nani anakuja kukagua kama tumepata hasara au faida?Je, korosho inaweza kuingia kwenye bajeti ya mazao ya chakula?
Tuelimishane
kapatikana vipi?,mbona kesi imekwisha?Pesa za dharura atoe wapi wakati kila dharura ikitokea wanatembeza bakuli? Tetemeko Bukoba walitembeza bakuli, ajali Ukara waliomba, ajali arusha nk. Tena wanaomba alafu wanakula wao. Huyu jamaa hana lolote anajitutumua tu na hapa kwny korosho ndo kapatikana.
Vipi kwa wakulima wa mahindi wanao uza mahindi kihasara sana gunia kati ya sh. 18,000 hadi 20,000 tu??Hatari sana yaani ni bora wakulima wapate hasara kuliko serikali kununua korosho. Hainingii akilini hata kidogo, watu kwanza dogma baadaye