Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,532
- 34,910
Wanafunzi wote wamepata 100%?? Wanafunzi wapi unawasemea?? Una akili timamu?Wote hao walikuwa wapiga dili lazima maisha yawe magumu, hebu ona wa fanya kazi wameongezewa mshahara na kulipwa madai yao yote, wazazi watoto wao elimu bure kabisa, wanafunzi wote wamepewa mikopo tena 100%, mfumuko wa bei umeshuka hadi 2%, chakula kimejaa tena kwa bei ya kutupwa, ma DED wa zamani walishalipwa masao yao wako nyumbani hivyo, viongozi wa narudia prase sio V8 serikali imebana matumizi. Maisha magumu yapi!