Walifikiri viwanda ni sawa na kupambana na ukawa! Karne hii serikali ijiingize tena kwenye viwanda thubutuuuuuu haina uwezo huo na hakuna uchumi wa hivyo tena!! Yule waziri wake comedian Mwijage sijui wapi sasa aje hapa
Huwezi ukaendesha nchi kwa makusanyo ya kodi trilioni 12 hadi 15 huku ukidai bajeti ni 29 trillion. Mbaya zaidi hii Serikali ilivyo na usiri mkubwa hatutajua katika bajeti ya 29 trilioni 2016/2017 kiasi halisi cha pesa kilichotolewa ni kipi.
Hiyo budget ingekuwa imetekelezeka hata nusu ungesikia majigambo. Kwa ujumla hapo mwanzoni nadharia ilikuwa kubwa ila uhalisia kwa sasa uko wazi ndio maana unaona jazba ikishika kasi. Makusanyo ya kodi yamepungua maana iligeuzwa kukusanya kodi ni kama uhasama hivi.
Yale maneno ya nchi hii ni tajiri na inaweza kuwa Donor country yameyeyuka. Anyway tutoe muda kama wanavyosisitiza lakini kwa mwendo huu sioni uwezekano wa kuwa na bajeti inayotekelezeka wangalau nusu.