Badala ya kuilipisha Simba, tuhoji zoezi la kubadili viti vya Uwanja wa Mkapa limeishia wapi?

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
7,095
11,698
Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja.

Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka sasa.

Baada ya tukio la mechi ya Simba vs CS Sfaxien, nimeshangaa kusikia eti Simba inatakiwa kulipa gharama za vile viti chakavu ambavyo nina uhakika vingine tayari vilikuwa vimeshang'oka. Hili jambo siyo sawa.

Inabidi tuhoji pesa yote ya marekebisho ya uwanja imeenda wapi mbona uwanja unaonekana bado uko vile vile zaidi ya running track ambayo sijawahi kuona ikitumika katika mashindano yoyote ya riadha? Running track imebaki kutumiwa na kina Harmonize, Dj Sinyorita na Dj Ally B wakiwa wanatumbuiza.

ZIADA 1: Sijawaelewa walinzi wa Uwanja wa Mkapa. Tukio la juzi na matukio mengine ya nyuma wanaonekana wako very disorganized, hawako fiti kimwili na ni kama wafanyakazi wasio na mafunzo, weledi wa kazi zao wala mfumo wa uongozi. Juzi walishindwa kabisa kucontrol situation ndogo kama ile ya watu wachache sana, wakabaki kukimbia kimbia kama wehu.

ZIADA 2: Uwanja wa Mkapa una security camera? Matukio kama ya juzi yakitokea, ni muhimu kutoa wazi video za tukio husika ili umma ujiridhishe chanzo na wahusika ni kina nani.

ZIADA 3: Wakati wa uzinduzi wa AFL, tuliambiwa Simba ilijitolea kulipia baadhi ya gharama za matengenezo ya uwanja ikiwemo pitch na vyumbani. Inakuwaje mdau wa karibu aliyefanya juhudi za kuheshimisha na kuutangaza uwanja, halafu linapotokea tukio ambalo lilikuwa nje ya uwezo wake achukuliwe kama mhalifu badala kulizungumza ili serikali ionyeshe inakumbuka mchango wake?
 
Mkuu gari likiwa bovu ndiyo ulazimishe lipate ajali wakati liko barabarani?
Point yangu gari tulishaambiwa ilitakiwa kuwa gereji ibadilishwe engine nzima na bodi lake liundwe upya na hadi tukaambiwa matumizi yake yamepunguzwa, inakuwaje tena inaharibika njiani tunaambiwa ni kwa sababu ya ubovu mpya au tatizo ni dereva mpya wakati tunajua engine nzima ilikuwa ibadilishwe na mpaka sasa haijabadilishwa?
 
Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja.

Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka sasa.

Baada ya tukio la mechi ya Simba vs CS Sfaxien, nimeshangaa kusikia eti Simba inatakiwa kulipa gharama za vile viti chakavu ambavyo nina uhakika vingine tayari vilikuwa vimeshang'oka. Hili jambo siyo sawa.

Inabidi tuhoji pesa yote ya marekebisho ya uwanja imeenda wapi mbona uwanja unaonekana bado uko vile vile zaidi ya running track ambayo sijawahi kuona ikitumika katika mashindano yoyote ya riadha? Running track imebaki kutumiwa na kina Harmonize, Dj Sinyorita na Dj Ally B wakiwa wanatumbuiza.

ZIADA 1: Sijawaelewa walinzi wa Uwanja wa Mkapa. Tukio la juzi na matukio mengine ya nyuma wanaonekana wako very disorganized, hawako fiti kimwili na ni kama wafanyakazi wasio na mafunzo, weledi wa kazi zao wala mfumo wa uongozi. Juzi walishindwa kabisa kucontrol situation ndogo kama ile ya watu wachache sana, wakabaki kukimbia kimbia kama wehu.

ZIADA 2: Uwanja wa Mkapa una security camera? Matukio kama ya juzi yakitokea, ni muhimu kutoa wazi video za tukio husika ili umma ujiridhishe chanzo na wahusika ni kina nani.

ZIADA 3: Wakati wa uzinduzi wa AFL, tuliambiwa Simba ilijitolea kulipia baadhi ya gharama za matengenezo ya uwanja ikiwemo pitch na vyumbani. Inakuwaje mdau wa karibu aliyefanya juhudi za kuheshimisha na kuutangaza uwanja, halafu linapotokea tukio ambalo lilikuwa nje ya uwezo wake achukuliwe kama mhalifu badala kulizungumza ili serikali ionyeshe inakumbuka mchango wake?
Nakumbuka ilitengwa billion 30 ya matengenezo, cha ajabu kweli hamna jipya,
 
Lipeni viti acheni visingizio visivyo na maana
 
Simba analipishwa sababu ndie aliekodi uwanja ili autumie kucheza na wageni wake wa caf.

Ni kama ukikodi ukumbi wa mtu ufanyie sherehe yako. Hata ikitokea wageni wako ndio wameuharibu ukumbi.. fidia utalipishwa wewe uliekodi ukumbi. na Sio mgeni wako
 
Nilikuwa uwanjani, najilaumu kwanini sikupiga picha vile vitu.
Kwanza vimechakaa mpaka vimepauka na vingine kuning'inia.
Simba katika mapato wanayopata Kuna pesa wanalipia kwa ajili ya ulinzi. Kikundi kilichofanya fujo kulikuwa Cha watu wachache, Kama wamelipwa na wameshindwa kukamata hata mhalifu mmoja ama wakatwe pesa au timu ziingie mikataba binafsi na kampuni za ulinzi ili likitokea tukio Kama Hilo kampuni husika ikamate wahusika ikishindika wao ndio wawajibishwe.
Idadi ya polisi haikuendana na idadi ya watazamaji pia polisi walikuwa upande mmoja wa uwanja.
Serikali isikimbilie kuwaadhibu Simba bila kuangalia madhaifu ya vyombo vyake vya usalama. Polisi wetu wamezoea kupambana na wapinzani na kuzuia maandamano .
 
Mfano uliotumia hauendani na uhalisia wa tunachoongelea. Kwanza makato ya kutumia uwanja wa Mkapa hayapo fixed kwa nini kama uharibifu wote analipishwa mteja? Wale walinzi ni wa uwanja na wamechangia sana uharibifu uliotokea kwa jinsi wasivyofanya kazi kwa weledi.

Pia ukikodi ukumbi jukumu la vyoo ni la nani maana mara ya mwisho kwenda kwa Mkapa vyoo vilikuwa havitamaniki. Na hili limekuwa ni tatizo sugu.
 
Wewe uliekodi ukumbi wenye vyoo vibovu ndio akili huna ? Kabla hujakodi lazima utazame mazingira kwanza. Ukiridhika nayo ndio unakodi
 
Ni zaidi ya mwaka sasa, toka enzi za uzinduzi wa African Football League (AFL) tuliambiwa kuwa viti vyote vya uwanja wa Benjamin Mkapa vingeenda kubadilishwa kama sehemu ya matengenezo makubwa ya uwanja.

Cha ajabu viti vimeendelea kuchakaa na vingine kung'oka huku hakuna kilichofanyika mpaka sasa.

Baada ya tukio la mechi ya Simba vs CS Sfaxien, nimeshangaa kusikia eti Simba inatakiwa kulipa gharama za vile viti chakavu ambavyo nina uhakika vingine tayari vilikuwa vimeshang'oka. Hili jambo siyo sawa.

Inabidi tuhoji pesa yote ya marekebisho ya uwanja imeenda wapi mbona uwanja unaonekana bado uko vile vile zaidi ya running track ambayo sijawahi kuona ikitumika katika mashindano yoyote ya riadha? Running track imebaki kutumiwa na kina Harmonize, Dj Sinyorita na Dj Ally B wakiwa wanatumbuiza.

ZIADA 1: Sijawaelewa walinzi wa Uwanja wa Mkapa. Tukio la juzi na matukio mengine ya nyuma wanaonekana wako very disorganized, hawako fiti kimwili na ni kama wafanyakazi wasio na mafunzo, weledi wa kazi zao wala mfumo wa uongozi. Juzi walishindwa kabisa kucontrol situation ndogo kama ile ya watu wachache sana, wakabaki kukimbia kimbia kama wehu.

ZIADA 2: Uwanja wa Mkapa una security camera? Matukio kama ya juzi yakitokea, ni muhimu kutoa wazi video za tukio husika ili umma ujiridhishe chanzo na wahusika ni kina nani.

ZIADA 3: Wakati wa uzinduzi wa AFL, tuliambiwa Simba ilijitolea kulipia baadhi ya gharama za matengenezo ya uwanja ikiwemo pitch na vyumbani. Inakuwaje mdau wa karibu aliyefanya juhudi za kuheshimisha na kuutangaza uwanja, halafu linapotokea tukio ambalo lilikuwa nje ya uwezo wake achukuliwe kama mhalifu badala kulizungumza ili serikali ionyeshe inakumbuka mchango wake?
Unajuaje kama wameshalipia hivyo viti?
 
Wewe uliekodi ukumbi wenye vyoo vibovu ndio akili huna ? Kabla hujakodi lazima utazame mazingira kwanza. Ukiridhika nayo ndio unakodi
Swali fikirishi kwanini uviharibu hivyo vibovu?, vile vile mtu mwenye akili timami hawezi kukodisha ukumbi wenye miundombinu mibovu halafu ukasini kwmba iko vizuri
 
Nilikuwa uwanjani, najilaumu kwanini sikupiga picha vile vitu.
Kwanza vimechakaa mpaka vimepauka na vingine kuning'inia.
Simba katika mapato wanayopata Kuna pesa wanalipia kwa ajili ya ulinzi. Kikundi kilichofanya fujo kulikuwa Cha watu wachache, Kama wamelipwa na wameshindwa kukamata hata mhalifu mmoja ama wakatwe pesa au timu ziingie mikataba binafsi na kampuni za ulinzi ili likitokea tukio Kama Hilo kampuni husika ikamate wahusika ikishindika wao ndio wawajibishwe.
Idadi ya polisi haikuendana na idadi ya watazamaji pia polisi walikuwa upande mmoja wa uwanja.
Serikali isikimbilie kuwaadhibu Simba bila kuangalia madhaifu ya vyombo vyake vya usalama. Polisi wetu wamezoea kupambana na wapinzani na kuzuia maandamano .
Kwa hiyo kama vimepakauka ndiyo mpate sababu ya kuving'oa!! Halafu unategemea kiti cha plastiki kikipigwa na jua + mvua miaka nenda, hakitapauka!

Comrade, lipeni tu gharama za uharibifu. Ni mara ya pili hii mnang'oa viti kwa sababu zinazofanana. Mnaonekana ustaarabu kwenu ni msamiati wa Kizungu.
 
Hapana nazungumzia bilioni 30 za Kodi ambazo wanasema zinatumika kwa ajili ya ukarabati ikiwemo kununua vitu.
 
Kwa hiyo kama vimepakauka ndiyo mpate sababu ya kuving'oa!! Halafu unategemea kiti cha plastiki kikipigwa na jua + mvua miaka nenda, hakitapauka!

Comrade, lipeni tu gharama za uharibifu. Ni mara ya pili hii mnang'oa viti kwa sababu zinazofanana. Mnaonekana ustaarabu kwenu ni msamiati wa Kizungu.
Ujinga ni kufanya jambo lile lile kwa namna ile ile halafu ukitegemea matokeo tofauti, vile vile kung'oa viti kwakudhani hutafanywa kitu, yaani serikali muda wote iko likizo
 
Back
Top Bottom