Unachobisha ni nini hasa kiongozi.
Aisee bad news!!
Huyu ndio yule mbunge wa chadema aliyekuwa anaishi marekani ? Kama kweli aende kwa amani , wote safari ni moja
Nabisha source yako wakati hii habari nimeisikia tangia Asubuhi wewe source ndio unaileta usiku.
Toa majibu basi sio kubishana.
Chanzo wewe?? Ubaruku napo Kuna marekani? Huu uzushi uliwekwa kwenye ma group ya whatsapp sana.
Source ni mimi mwenyewe, unachobisha ni nini, huamini au nini hasa.
Ni either you take it or leave it, i will take a full reaponsibility if it happens kwamba this is untrue information.
Any sound person like me hawezi kumzushia mtu kifo. I am 100% sure na nilichokiandika.