"Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
3,362
7,683
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza.

Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira.

Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha.

Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera.

Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
 
Kwani mrembo iwapo your Man has paid 50% na you paid the remaining 50% Kuna tatizo akikusifia.

Wakati mwingine shukuruni hata Kwa hiko kidogo ambacho mnapewa, mkikutana na Timu ya "Kuna hela naisikilizia" hupewi hata mia mbovu 😜🙌

Kuweni na Moyo wa shukrani Kwa Wanaume wanaojitoa kwaajili yenu
 
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza
Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira
Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel fulani au ukipost picha*Masifa kibao*

Wanaume sifia mtu wako Kama umemuwezesha kupendeza,tunaona kinyaa kunisifia kupendeza huku hakuna ulichochangia kwenye urembo wangu au asilimia zako ni ndogo sana kwenye kunipendezesha
Unapata wapi nguvu za kumsifia mwanamke na hukuchangia chochote kwenye urembo huo? Ni aibu na mnaboa na mnakera
Msifie mwanamke uliyeajibika kumpendezesha kwa asilimia 100,tunajisikia raha sana na kupendwa

Kona ya Bwiru
Pamoja na hayo hebu wanawake mpunguze kuombaomba , mbona hamusemi kuhusu wanawake wanaowapendezesha wanaume zao pia? Tatizo mmekariri kuwa wanawake Tu ndio mnapaswa kupendezeshwa, na kusifiwa siyo dhambi na siyo kila anayekusifia awe amechangia wewe kupendeza, acheni hizo Mambo bwana
 
Back
Top Bottom