Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Huyu mtoto inawezekana kabisa akawa hana uhusiano mzuri na babake! Nadhani ana tabia mbaya zinazomkwaza baba yake vibaya, kwa hiyo hapendwi kabisa na baba yake! Sasa yeye ameamua kumkomesha baba yake kwa kumtungia hivi visa vya ajabu ajabu! Msameheni tu kwani akikua ataachana na hiyo tabia!