Baba yangu hataki nioe kabila tofauti na langu

Sio vizuri kufanya harusi alafu baba yako asihudhurie, ni bora nisifanye tu
emotional torture na torutee ya kisaikolojia...huna kosa lolote kwanza mke w=ni wewe ndo utaishi nae,,,,hili sual alimetokea kwa mdogo wangu eti hawataki aoe wa kaskazini kwenye baridi kulee.....na wakati huyo mtu ndo wameendana persinality na wamekuwa perfect match....sasa huwa wazazi utasikia sitahudhuria harusi au sikutambui kama mwanangu....hizi mambo ni fake na tatizo sio wewe ni wao.....
af wanasahau kuwa sio kwamba tunashindwa kuishi nao na kuazna maisha hao wapenzi wetu ila nidhamu heshima taratibu zinatufanya tuwashikirkishe tupata baraka ila wao sasa wanaleta mara mila mara hawataki....sasa sababu ya msingi nii eti mila...nonsense..makabila ndo nini.....

solution usiforce mambo ya harusi kwa kuwa yataleta shida....we endelea na kazi yako..huwezi achana namtu anayejitambua na amekusaidia kimawazo kufika ulipo hapo ukaoe ilimradi mkurya......mila hizi hadi 2018 aisee.....we tulia na wife wako ndo ani wawili na utaachana na wazazi wako utaambata na mke wako kama baba yakao alivo na mke wake

hujakosea wala pa kurekebisha pakubwa hamna ....coz we are not perfect labda vitu vidogo utarekebisha
 
Si hua mnatucheka wanaume wa Dar mara hiv mara vile kama vipi komaa na mkurya mwenzio sisi wa daslamu huku tunaoa yeyote yule maana wengine machotara mshua Mnyamwezi maza mtu wa Tanga tunaweza enda kuoa Lindi huko hakuna complain hakuna mila wala nini
 
Back
Top Bottom