Hiyo ni kweli kuna jamaa yangu analima ufuta , mbona amechanganikiwa,tena jana kaniambia bei wanalipa 1200/= baada ya 1600/=Baba tangu ametoka ufuta umeshuka bei toka 2500 kule kijijini hadi 1600 mwaka huu na bidhaa ndo zimekuwa ghali sana
Si mnataka serikali inayokusanya kodi isiyo na "ufisadi"?Hiyo ni kweli kuna jamaa yangu analima ufuta , mbona amechanganikiwa,tena jana kaniambia bei wanalipa 1200/= baada ya 1600/=
ww umejuaje kama ndio kabila zake ulizotaja ? mbona kina lema wanaema wanamsi , jee lema naye ni mkwere,kwani ww unamsapoti mtu kutokana kabila lake na sio matendo yake ?Mzaramo na mkwere kazi yao kucheza bao tu na kulialia maisha magumu,FANYENI kazi jk aliwaendekeza sana,huyo jk ndo alosababisha haya yote kwa udhaifu wake na kuwa na marafiki majizi
Safi saana, mbele kwa mbeleSi mnataka serikali inayokusanya kodi isiyo na "ufisadi"?
Ndiyo hiyo sasa.
Wakikubana na wewe bika vaseline ndipo utakapofurahia zaidi mbele kwa mbele mpaka mbele kwa nyuma.Safi saana, mbele kwa mbele
Hakuwa malaika mkuu...... alikuwa na makosa yake.... kwa akili ndoho tu ni kwamba mleta uzi analinganisha uhalisia wa tawala 2 kwa sasa....Ah kwa hiyo sio dhaifu tena!?
Kuna thread humu, jamaa amejibu yote hayo kwa kuelezea awamu zote zilizopita.Kwa hiyo na Mikutano ya hadhara, Makongamano ya kujadili bajeti na Graduation za Wanafunzi wa vyama vya Upinzani vinazuiwa kwa kuwa Jakaya alikausha Hazina?
Sukari nayo imeadimika kwa kuwa Hazina ilikaushwa na Jakaya?
Matusi kwa Wanafunzi wa Udom na Kushauri Jeshi la Polisi kuiba Matairi ya wenye trafick case ni kwa kuwa Jk alikausha Hazina?
Meli kuamua kuachana na Bandari ya Dsm na kutumia ya Beira na Mombasa ni kwa kuwa Hazina ilikaushwa?
Bunge live limekatazwa na Waandishi wamezuiwa kujirekodia vipindi vya Bunge kwa kuwa Hazina ilikaushwa?
Propaganda ni kama Gas ya kwny chupa ya Coca cola hupanda na kupotea kwa haraka kama ilivyokuwa kwny kadhia ya sukari.
Tofautisha matumizi ya U na Hu, mfano umeandika.. "husivae" badala ya usivae. We ni msomi lakini unaharibu lugha ya utambulisho wa taifa. Samahani lakini mkuuKwa nchi za Afrika huwezi kuacha hazina imejaa fedha kwa sababu, kuna vitu vingi vya kufanya, mfano kujenga barabara, maji safi , ajira , ulinzi na usalama, miundo mbinu ya elimu kujengwa etc, kwa kifupi kuna comitment nyingi za kufanya, , haingii akilini husiajili watu ili ubakize fedha hazina , ili iweje sasa ?, husijenge miundo mbinu ubake fedha hazina,Husiwape watu mishahara mizuri ili ubaki na hela, then hela for what ? fedha za nchi ni for people welfare na vitu hivyo ni sehemu ya hivyo, wewe jiulize kwann wafanyakzi wengi hawana savings kubwa, kwa sababu wanachopata ndicho wanachotumia Y=C( income = consumption), haingii akili mtu husivae , kula au kujenga etc kisa eti unataka kusave pesa, kwanza ukiiweka pesa yenyewe inashuka thamani, ni vizuri ukawekeza kwa kununua commodities( unafanya hedging),kwa hiyo serikali mara nyingi inafanya Y=C+I na mara chache Y=C+I+S , hii inatokana na commitment zilizopo
Hata bei ya SUKARI kutoka sh 1800 hadi 3000 nayo haijakugusa mkuu??kwa kweli mim sijaona tofauti maana ninaishi kwa jasho langu wew labda ulikuwa mishen town dalali wa magari ya magumashi bandarini
Punguza spidi ya kuzungusha utamwelewa tuSimkumbuki Jakaya hata kidogo, huyu mwingine nae ndo hata simuelewi
Acha ushamba mna mlilia JK kwani kafa??
Yupo hai na mwenyekiti wa chama chetu kama anawaonea huruma mbona hatoi tamko lolote kuwahurumia.
Kama angeondoka na kuacha HAZINA imejaa, unafikiri vibali vya ajira vingestishwa leo? Unafikiri kodi ingeongezwa? Unafikiri maisha yangekuwa ghali?
Aliacha msingi mbovu, kama ilivyo desturi ya marais wanaotokana na CCM.
Anachokifanya rais aliyepo ni kuanza upya & kuijaza HAZINA tena; Lazima maisha yawe magumu.
Otherwise, tusitafute justification ya kuhalalisha mapungufu yake kwa kutumia upungufu uliopo.
ALICHEMKA, kama waliomtangulia & huyu Anaelekea kuchemka pia asipobadilika.
Upinzani wa namna hii ni unafiki uliokubuhu, mlivyomtukana na kumdhalilisha jk leo hii mnamkumbuka kwa wema? Au mlizoea kutumia appeasement bonus ili kuwachonganisha wananchi na jk? Kama leo mnamsifu jk kwa vinywa vyenu kwa mwenye akili timamu ataamini Vipi kuwa hata jpm ana mapungufu mengi kama mnavyodai? Acheni dhambi hii, mlimtumia jk ili mpate umaarufu kisiasa na sasa ametoka yupo komando hataki siasa zenu za kipuuzi.
Wanafiki wakubwa nyie!!!?
Poa mkuu, thanksTofautisha matumizi ya U na Hu, mfano umeandika.. "husivae" badala ya usivae. We ni msomi lakini unaharibu lugha ya utambulisho wa taifa. Samahani lakini mkuu
Safi sana short but clear, we ni mwanafalsafa hakikaMatatizo ya siasa za Afrika ni kwamba zinazungukia watu badala ya kuzungukia taasisi na itikadi.