Baba anataka aachiwe mke na mwanae kisa ana nyota kali

Waswahili buana nouma sana. Napendekeza wapuuzi kama huyo mzee wauawe kwa kupigwa risasi tu. Hakuna ujingaa kama huo duniani eti nyota? Ndiyo maana ulaya walianza kwa kuua wachawi wote kwa kuwachoma moto, nadhani hata Tz inabidi tupitishe zoezi la kuua waganga na wachawi wote.
 
Watu wa dizain ya huyo baba mkwe mbona hata humu JF wamo. Nimeona post imegongewa like moja.......au baba mkwe nae ni member humu!!!
 
Binamu yangu aliolewa mwezi Oktoba 2016. Aliolewa na kijana wa Bagamoyo huko mtoto wa Mganga. Baada ya ndoa wakaenda kuishi huko Bagamoyo nyumbani kwa wazazi wa mume wake.

Maisha yameendelea tu vizuri hadi siku ya Jana alipokuja kwetu usiku saa tano na begi kubwa la nguo.

Kumuuliza vipi umekuja na mzigo hivyo, kwema huko? Akasema si kwema hata kidogo! Baba Mkwe anataka amuoe yeye. Yaani baba wa mumewe amesema mwanae ampe talaka mkewe kisha amuoe yeye!

Sababu aliyotoa mzee ni kuwa yule binti ana nyota kali sana(nadhani kaiona kwenye ulimwengu wa kichawi huko) hivyo mwanae hatoiweza inaweza hata kumuua. Yeye kwakuwa mganga kwanza itamsaidia kwenye kazi zake na pia ataweza kuikabili kwa kutumia mizimu.

Mume wake hana usemi wowote, haoneshi upande wowote. Anasema tangu baba mkwe atamke maneno hayo mumewe kawa kama zoba, mpole kupitiliza na muda wote anawaza tu. Haongei kitu chochote hata akimuuliza. Hajui hata kama anakubaliana na mzee wake au la!

Sababu ya kuja kwetu na sio kwao (kwa mama yake) ni kwakuwa alipomwambia mama yake kwenye simu, akamwambia kama ndio walichoamua upande wa mumewe hatakiwi kupinga maana sasa yuko chini ya mumewe! Kumpigia mama mkubwa simu anasema " Labda ndo majaliwa yake hayo, hawezi kuepuka"

Mama kasema tukae nae hadi waje kumtafuta ili watueleze vizuri wana mpango gani na huyu binti.
Hili nalo liliishaje?
Sasa yapata miaka 7.
 
Habari bila picha ni sawa zulia lililo kosa Muheshiwa..
Weka picha uwenda mganga kaona mwanae anafaidi.... 😂🤣😅😁😀
 
Back
Top Bottom