Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,173
- 184,753
Signs that she is in love ni kukubali ule vyake kwa moyo mkunjufu🤣Halafu wdada wanaopiga mizinga wanachonishangaza, ofa wanazokuomba, wao wenyewe hata wakiwa on their best days hawawezi kukupa hizo ofa, hata kama hizo ofa ni ndogo kiasi gani.
Mfano mdada anaekuomba umnunulie andazi, ukichunguza vizuri yeye mwenyewe hata apate sh billion 1 muda huo, hawezi kuwaza kukununulia wewe andazi.
Na mara nyingi ukiona mdada hamfahamiani vizuri kihivyo, kakununulia kitu kidogo tu kama juisi tu au hata biskuti, bila wewe kumuomba, 7 times out of 10 ujue she is in love with u mpaka basi, maana zawadi zao hazitokagi kizembe 😁 Extrovert Natafuta Ajira