Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,081
- 7,017
Habarini,
Kuna baadhi ya wadada ni majirani zangu, kimuonekano ni wazuri tu, wameajiriwa, wapo kwenye umri wa kuolewa lakini hawajaolewa, kwa nyakati tofauti nilibahatika kupata wasaha wa kukaa nao chini na kupiga story kuhusu mahusiano ya kimapenzi waliowahi kupitia. Tuliongea mengi ila common points zinazofanana ambazo hao wadada wali-share na mimi kwenye mazungumzo yao ni hizi hapa:
1) Wanamwamini Mungu, wanasema kwenye past relationships zao, waliwaombea na kuwatolea sadaka kanisani wanaume walio-date nao.
2) Hawapendi kuwa na mahusiano na wanaume wengi tofauti, wali-claim mdada ukisex na wanaume tofauti unajibebea maroho ya mikosi etc
3) Waliwahi kutoa emotional support even financial support kwa boyfriends zao wakikwama kipesa, wanaamini kuna kupata na kukosa, wanaamini kuanza na mwanaume from the scratch mpaka anatoboa kiuchumi.
4) Walijaribu kufanya relationship zao zilizopita zi-work lakini ikashindikana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wao.
5) Wapo real/genuine, ni hardworking wanapenda kupika/traditional feminine role za mdada ndani ya nyumba.
Cha ajabu kwenye interaction yangu na wao (kwa wiki chache nlizojaribu kuwachombeza kimapenzi), matendo yao ni tofauti na wanachoniambia, mizinga kama yote, almost every week mtu anakuomba hela, au favor nyingine ndogo ndogo, wakati kidume hata hujamsumbua kumuomba papuchi, na mtu anakuomba hela wakati na yeye ana mshahara wake kama wewe, pengine si ajabu kakuzidi hata savings. Ukiangalia huyo mdada anacho-add kwenye maisha yangu, nehi
Sasa sijajua application ya hayo maneno waliyoniambia wanaifanyia wapi au walivyonipa hizo story walihisi wanamchota pimbi 😁
cc: Extrovert DeepPond Natafuta Ajira