Baadhi ya minara kuwaka taa nyekundu juu kileleni

Mbona kuna majengo marefu pengine kuliko hata minara ya simu lakini haina hizo taa na minara inayo?
Naomba ufafanuzi zaidi juu ya taa hizo.
Majengo yote marefu yanapaswa kua na hizo taa ambazo zinaitwa aircraft warning lights ni high intensity lighting devices,hutumika kama collision avoidance measures.
Screenshot_2017-02-15-23-38-33.jpg
 
Inaitwa NAVIGATION LAMP (LIGHT)
kwa ajili ya tahadhari kwa vyombo vya anga hasa Helicopter wakati wa usiku naa huwa haziwekwi kwenye minara ya simu tu hata kwa nchi za Ughaibuni huwekwa kwenye majengo marefu... mfano Trump tower, WTC au Eifel tower kule Paris..
Upo sahihi kabisa,tatizo kuna watu wakiwa wanadiscuss vitu kama hivi wao watatizama majengo ya bongo tu au minara ya bongo tu na kujenga hoja..!!
 
Inaitwa NAVIGATION LAMP (LIGHT)
kwa ajili ya tahadhari kwa vyombo vya anga hasa Helicopter wakati wa usiku naa huwa haziwekwi kwenye minara ya simu tu hata kwa nchi za Ughaibuni huwekwa kwenye majengo marefu... mfano Trump tower, WTC au Eifel tower kule Paris..
ni AVIATION=usafir wa anga na NAVIGATION=usafir wa majin
 
Nimejiuliza hili swali nikashindwa kupata jibu maana kwa asilimia kubwa ya minara inayotuzunguka lazma kule juu kileleni huwa kuna taa nyekundu nyingine zinawaka na kuzima nyingine zinawaka moja kwa moja na rangi ni hiyo hiyo nyekundu sijawahi ona taa za rangi nyingine.

Hivi hii hua ni sheria za minara au zinakuwa na maana gani?

Naomba kujuzwa.
Inatakiwa hivyo! For security purpose, mfano ndege inapita maeneo hayo inakua rahisi kujua kua kuna mnara. Na taa nyekundu zinatumika kwa vile ni rahisi kua dectected. Ndo maana unaona sehemu za hatari wanapenda sana kutumia rangi nyekundu na nyeupe. Hizi rangi zinaonekana zaidi. Zebra cross wanatumia white color
 
Yap
Minara imetofautiana sana
Mingine ni kwa ajili ya Usalama wa nchi
Pia kuna ambayo ni ya vyombo vya mawasiliano kama TV Radio n.k
Ila wao wanaogopa penalties kutoka TCRA huwa wanaweka aviation lights & Security lights
 
Ni alama ya hatari, inayomjulisha rubani wa ndege kuwa asishuke usawa wa hiyo taa atagonga mnara.
 
Back
Top Bottom