Baada ya wageni kusepa

Unanikumbusha kazi za ndugu zetu wasomi wa madigirii waliotorokea ughaibuni bila mpango wa maana!...
 
Naona kaajiliwa uarabuni au uhindini maana aina ya vyombo hivyo hupatikana huko. Mwambie arudi home nitamwajiri.
Labda alinunua kutoka india . ila hii kazi inakera sana
 
We usiseme hivyo labda analipwa kwa saa. Imagine unalipwa 10 £ au 20 $ per hour utakataa kufanya na unajua ni kazi za off Book hivyo hakuna kodi wala nini. Unaonaje?
 
Kama kulipwa sawa. Hapo mtu anapata na chochote kitu mfuko unatuna sio mbaya
 
Mwenzetu hafanani na hao naona katekwa mtaani, kawekwa pale, kachukuliwa passport yake, hana simu halafu kaadhibiwa kwa kuwekwa picha yake mtandaoni.
 
Huo nao ni mtihani. Ila amenuna sana. Unafanya kazi kilazima hii
 
Back
Top Bottom