Baada ya "Vuta Nikuvute" sasa mwili wa Mzee Ndesamburo kuagwa Uwanja wa Majengo badala ya Mashujaa

YANI HEADING HAVIENDANI NA HABARI YENYEWE.......


NILIVYOELEWA SERIKALI IMEKATAZA UWANJA , LAKINI HAIJAKATAZA MWILI WA MAREHEMU NDESAMBURO KUAGWA.......

NA SABABU MBONA ZIKO WAZI WAMEZITOA ;;!;;;;;

SIO VIZURI MKUU KUCHOCHEA CHUKI BAINA YA WATU!!
 
Hivi, aliyekataza matumizi ya uwanja huo si yule yule aliyeelekeza pesa tuliochanga za rambirambi za Lucky Vincent zikarabati hospitali? Mbona hataki watu walioumizwa na msiba wapewe rambirambi au waage marehemu wao? Hajui kwamba kila mtu (na hata yeye) lazima anakutana na msiba, na kwamba hata yeye siku moja atakufa?
Ana uchungu hizi rambirambi kashindwa kuingia aibe sasa hapa anaona bora aharibu kila kitu hata ikiwezekana Mzee Ndesa asizikwe.

Dogo najifungia chumbani analia haswa kwa kudhibitiwa kuiba rambirambi
 
Wanasissa wote wàpate shule kupitia kwa watu hawa
Wasira
Nape
Muhongo
Mangu
Wenye vyeo wajue kwamba nidhamanatu na cheo unaweza kulala nacho usishindenacho siku ijayo

Niliowaorodhesha hapo juu hawakudhani kwamba labda wangeweza kuwa wali yo leo
 
Gambo ana hasira kwa sababu hayati Ndesamburo hakutumii njia ambayo serikali ilikuwa inataka katika kuwasilisha michango ya rambi rambi za wafiwa wa ajali Luck Vicent jijini Arusha.
Awamu hii ya kiserikali hakuna rangi wapinzani tutaacha kuona,hata maiti inawekewa pingamizi?
 
Ni muda mrefu sasa tangu katazo la kutokutumia tena huo uwanja kwa shughuli mikutano ya aina yoyote kwa sababu hizohizo....hata mwaka huu nimeambiwa mwakasege hakufanya mkutano pale mashujaa bali aliufanyia viwanja vya majengo hivyo basi kwa sababu kuna viwanja vingi moshi wasi poteze mda mitandaoni au ofisini kwa mkuu wa mkoa kuzozana bali watumie viwanja vya majengo au ushirika ama king George memorial (maimoria wanavyokiita)
 
Siasa za ushindani zinaelekea kuwashinda CCM.

Magufuli kama unashindwa kutuvumilia hata tukipatwa na misiba, basi badili katiba turudi tu kwenye mfumo wa chama kimoja, Labda ule undugu na upendano wa Kitanzania utarejea.

Badala ya kutuchokoza namna hii.

Lala Salama Mzee Ndesamburo, haki yako ya kuzikwa na waliokupenda haitapotea.
 
wameona rambirambi hawataziona maana zitachukuliwa na chadema
 
Kuna kosa lipi la mahakama na shule kuwepo jirani na eneo la kumuaga marehemu? Huu uonevu dhidi ya Chadema sasa umevuka mipaka hata kuingia kwenye kuaga waliofariki.

Halafu kuna watu humu wanataka kumfananisha huyu mwenye roho mbaya sana na Sokoine na Mwalimu!
Sijajua kama nagufuli amekuwa kaiumu mkuu wa mkoa wa kilimanjaro
 
BREAKING NEWS

Serikali ya mkoa ikiongozwa na kaimu mkuu wa mkoa Mrisho Gambo imezuia matumizi ya uwanja wa mashujaa moshi kwa ajili ya shughuli za kuuaga mwili wa mzee Ndesamburo. Sababu walizotoa.
Mahakama na shule viko jirani.

Hata hivyo uwanja huo umekuwa ukitumika kwa ajili ya mikutano ya injili na Mchungaji Mwakasege kuanzia jumatatu hadi jumapili, Wakati hizo taasisi zikiwepo.

Ila kosa ni Chadema Kutaka kuagia mwili wa marehem Ndessamburo Katika Uwanjani huo Serikani Ijitathimini sasa...
Bawacha huo uwanja haujaanza kuzuiwa leo...ni mwaka sasa hautumiki kwa shughuli zozote...
Tangia lini Mrisho Gambo amekuwa kaimu mkuu wa mkoa wa Moshi huku akiwa mkuu wa mkoa wa Arusha?
 
Screenshot from 2017-06-03 14-38-29.png
 
Back
Top Bottom