Kuna Mzee mmoja aged almost 82 by now, aliniambia kuwa baada ya uhuru Tanzania/Tanganyika ilikuwa na majaji kutoka Malawi pamoja na nchi zingine za commonwealth.
Vile vile inasemekana tuliwahi kuwa na IGP somebody Solomon Lihani, inasemekana kuwa ni wa Kabila la Waluya la huko Kenya.
Je, watanzania gani waliwahi kuwa watumishi wa umma katika Mataifa Mengine punde baada wa uhuru wa hizo nchi husika??
Kuna mtanzania aliwahi kuwa IGP Malawi?? Au hata Jaji??