Baada ya uhuru, Tanzania Bara iliwahi kuwa na watumishi wa umma kutokea Mataifa Mengine. Was it reciprocal??

Sir Ralph Windham (25 March 1905 – 6 July 1980) was a British lawyer who held various positions in the Colonial Legal Service.

Quick Facts Sir Ralph Windham, Chief Justice of Zanzibar ...
He was a judge in Palestine, Ceylon, Kenya, Zanzibar and Tanganyika.
While trying a case in Tel Aviv in January 1947 he was kidnapped from the courtroom by Jewish terrorists, but was released on the next day.
 
Kuna Mzee mmoja aged almost 82 by now, aliniambia kuwa baada ya uhuru Tanzania/Tanganyika ilikuwa na majaji kutoka Malawi pamoja na nchi zingine za commonwealth.

Vile vile inasemekana tuliwahi kuwa na IGP somebody Solomon Lihani, inasemekana kuwa ni wa Kabila la Waluya la huko Kenya.

Je, watanzania gani waliwahi kuwa watumishi wa umma katika Mataifa Mengine punde baada wa uhuru wa hizo nchi husika??

Kuna mtanzania aliwahi kuwa IGP Malawi?? Au hata Jaji??
Solomon Liani ha kuwa mkenya. Tulikuwa na majadiliano kutoka nje ya nchi kwa sababu hat ukubwa na watanganyika wenye elimu ya sheria wa kutosha. Jaji mkuu wa kwanza alikuwa raia Trinidad
 
Back
Top Bottom