Baada ya uhuru, Tanzania Bara iliwahi kuwa na watumishi wa umma kutokea Mataifa Mengine. Was it reciprocal??

Zambia my homeland

JF-Expert Member
Feb 28, 2025
251
446
Kuna Mzee mmoja aged almost 82 by now, aliniambia kuwa baada ya uhuru Tanzania/Tanganyika ilikuwa na majaji kutoka Malawi pamoja na nchi zingine za commonwealth.

Vile vile inasemekana tuliwahi kuwa na IGP somebody Solomon Lihani, inasemekana kuwa ni wa Kabila la Waluya la huko Kenya.

Je, watanzania gani waliwahi kuwa watumishi wa umma katika Mataifa Mengine punde baada wa uhuru wa hizo nchi husika??

Kuna mtanzania aliwahi kuwa IGP Malawi?? Au hata Jaji??
 
Kuna huyu mzanzibar Samia anacheo kikubwa tu Kwa Tanganyika yetu,huyu amekuwa na mamlaka yakuamuru watanganyika wauawe au wapewe kesiza uhaini
 
Mashirika mengi ya umma yanahitaji wakurugenzi kutoka njee maana wabongo kila siku hasara na wizi bora tutafute wafanyakazi wa kimataifa
 
Kuna Mzee mmoja aged almost 82 by now, aliniambia kuwa baada ya uhuru Tanzania/Tanganyika ilikuwa na majaji kutoka Malawi pamoja na nchi zingine za commonwealth.

Vile vile inasemekana tuliwahi kuwa na IGP somebody Solomon Lihani, inasemekana kuwa ni wa Kabila la Waluya la huko Kenya.

Je, watanzania gani waliwahi kuwa watumishi wa umma katika Mataifa Mengine punde baada wa uhuru wa hizo nchi husika??

Kuna mtanzania aliwahi kuwa IGP Malawi?? Au hata Jaji??
kipnd iko bado haruf ya ukolon ilikua bdo aijatowek ht ukifat story china pind anatawaliw na mjapan walikua wanawek gavana mfilipino au mchina mwenyew ilihal uongoz ote wa wajapan kweny nyadhifa ambaz anaamn mgen ana taaluma zaid ikumbukwe kipnd iko watanganyik waliosoma walkua bdo wachache na nchi inahtaj wasom so lazm kuajir na kuajiliwa wagen pk leo bdo wapo weng mfano viwand vya azam moo azania na makampun meng tu ya binafs na mabenk ya tz kuna ma engineer na waajiliwa weng tu from sweden india south uturuk uk ht iz kampun za airtel voda pk leo watendaj wakubwa ni wagen mfan voda juz tu hpo wamemuajir msauz cjui muhind ni kawaid wa africa kuna nyadhifa ukmueka mzawa kaz aziend na atajaza wa kwao ht km awakidh kitaaluma ndio unakut mashirik km udart trl atcl yanajiendesha kwa hasara miak nend rud na hakuna hatua inayofanyika kupunguza hasara kila mwaka story ile ile na loss inapanda tu shida ni usimamiz wa ndan wa ovyo kujuana kwng kubebana upgaj na taaluma ndogo hyo mamb wakolon waliyaona ndioman wakaw wanaajil mtu specific than mzawa
 
Okay
 
Kuna Mzee mmoja aged almost 82 by now, aliniambia kuwa baada ya uhuru Tanzania/Tanganyika ilikuwa na majaji kutoka Malawi pamoja na nchi zingine za commonwealth.

Vile vile inasemekana tuliwahi kuwa na IGP somebody Solomon Lihani, inasemekana kuwa ni wa Kabila la Waluya la huko Kenya.

Je, watanzania gani waliwahi kuwa watumishi wa umma katika Mataifa Mengine punde baada wa uhuru wa hizo nchi husika??

Kuna mtanzania aliwahi kuwa IGP Malawi?? Au hata Jaji??

..Ni kweli kwamba Tanzania iliwahi kuwa na Jaji Mkuu, Dpp, na watumishi wengine toka nje ya nchi.

..Kwa mfano, Dpp Herbert Chitepo, alikuwa ni raia wa iliyokuwa Souther Rhodesia sasa hivi Zimbabwe.

..pia alikuwepo Jaji Mkuu Telford Georges toka nchi za Caribbean. Nadhani ni Jaji Mkuu wa tatu tangu tupate uhuru.

..VC au Principal wa kwanza wa UDSM na wakuu wengi wa vitivo waanzilishi pia walikuwa raia wa mataifa mbalimbali ikiwemo Canada, Uingereza, Malawi, etc

..Prof.Cranford Pratt alikuwa Principal wa UDSM akitokea Canada.

..Dr.A.M.Rankin alikuwa Dean wa kwanza wa Faculty of Medicine wakati Muhimbili ni kitivo cha UDSM.

..Prof.Gottlieb Monekosso toka Cameroun alikuwa Dean wa pili Faculty of Medicine wakati Muhimbili ni kitivo cha UDSM.

..Tanzania nayo imewahi kupeleka wataalamu wake kusaidia nchi marafiki kama Msumbiji, Seychelles, Zimbabwe, Namibia, etc

..Kwa mfano, Jaji Barnabas Samata, na Jaji Lameck Mfalila, waliwahi kutumikia katika Mahakama Kuu ya Zimbabwe.

..Jaji Mohamed Othman Chande alitumikia katika serikali ya East Timor. Wapo Majaji ambao wametumikia katika Mahakama Kuu ya Seychelles.

..Lt.Col.Hassan Ngwilizi, na Major.Abdulrahman Shimbo, waliongoza kikosi cha Jwtz kilichokwenda kufundisha jeshi la Seychelles.

NB.

..Igp Solomon Liani naamini alikuwa Mtanzania. Lakini ukumbuke kuna Watanzania wanaotokea mipakani mwa nchi yetu hivyo huenda akawa mmoja wa hao.
 
..Ni kweli kwamba Tanzania iliwahi kuwa na Jaji Mkuu, Dpp, na watumishi wengine toka nje ya nchi.

..Kwa mfano, Dpp Herbert Chitepo, alikuwa ni raia wa iliyokuwa Souther Rhodesia sasa hivi Zimbabwe.

..pia alikuwepo Jaji Mkuu Telford Georges toka nchi za Caribbean. Nadhani ni Jaji Mkuu wa tatu tangu tupate uhuru.

..VC au Principal wa kwanza wa UDSM na wakuu wengi wa vitivo waanzilishi pia walikuwa raia wa mataifa mbalimbali ikiwemo Canada, Uingereza, Malawi, etc

..Tanzania nayo imewahi kupeleka wataalamu wake kusaidia nchi marafiki kama Msumbiji, Seychelles, Zimbabwe, Namibia, etc

..Kwa mfano, Jaji Barnabas Samata, na Jaji Lameck Mfalila, waliwahi kutumikia katika Mahakama Kuu ya Zimbabwe.

..Jaji Mohamed Othman Chande alitumikia katika serikali ya East Timor. Wapo Majaji ambao wametumikia katika Mahakama Kuu ya Seychelles.

..Lt.Col.Hassan Ngwilizi, na Major.Abdulrahman Shimbo, waliongoza kikosi cha Jwtz kilichokwenda kufundisha jeshi la Seychelles.

NB.

..Igp Solomon Liani naamini alikuwa Mtanzania. Lakini ukumbuke kuna Watanzania wanaotokea mipakani mwa nchi yetu hivyo huenda akawa mmoja wa hao.
Sina cha kukupa zaidi ya shukrani mkongwe JokaKuu

Hakika umenipa elimu mujarab

Umetisha sana kaka mkubwa.
 
Kuna Mzee mmoja aged almost 82 by now, aliniambia kuwa baada ya uhuru Tanzania/Tanganyika ilikuwa na majaji kutoka Malawi pamoja na nchi zingine za commonwealth.

Vile vile inasemekana tuliwahi kuwa na IGP somebody Solomon Lihani, inasemekana kuwa ni wa Kabila la Waluya la huko Kenya.

Je, watanzania gani waliwahi kuwa watumishi wa umma katika Mataifa Mengine punde baada wa uhuru wa hizo nchi husika??

Kuna mtanzania aliwahi kuwa IGP Malawi?? Au hata Jaji??
Jaji Samata alihudumu Zimbabwe kwa miaka 5 baada ya nchi hiyo kupata uhuru
 
..asante.

..nimewaongeza Dr.Rankin, na Prof.Monekosso walikuwa wakuu wa kitivo cha tiba Muhimbili.

..pia kuna kipindi TANROADS ilikuwa na Mtendaji Mkuu toka Ghana. Nadhani yule bwana aliletwa na nchi wafadhili kusaidia kuianzisha.
Okay. Sawa mkuu. Mungu aendelee kukulinda ili tuendelee kujifunza kupitia wewe.
 
Back
Top Bottom