Baada ya Uchaguzi wa leo 20/03/16 CCM wakashinda tutegemee nini?

CUF imejiua kisiasa kwa kuogopa uchaguzi....hakuna chama cha siasa duniani kinahofia uchaguzi....CUF walitakiwa kuwashawishi wale wafuasi inayojidai kuwa nao wapige kura kwa wingi ili kuthibitisha madai yao....

Pole sana kwa CUF Leo hakuna fyokofyoko za kufukuza watu kituoni na kuanza kufanya mnayoyataka kufanya...yaani kuchakachua...leo ni haki kw haki...

UKISUSA WENZIO TWALA

UNA FIKRA ZA KIJINGA, sjui wewe ni miongoni mwa mizanzibari hisyo enda shule na ikabakia kuishabikia ccm.
 
CUF hawajasusa bali wamesimamia ukweli..Vyama vya upinzani vilivyoshiriki havina impact yoyote ile zaidi ya kujaza nafasi tu. CCM watakua na wakati mgumu kutekeleza mambo yao kwa kuwa wananchi hawawatambui,hususani pemba. Hakuna demokrasia Tanzania.
 
Hawa jamaa kuna jambo wamelipanga, ila wameishastukiwa!. Huku kususa kusiko na impact yoyote, ni wastage of time, ndio maana wenye busara bado wanajiuliza hao waliosusa, wamesusa ili kuachieve nini, na baada ya uchaguzi huu huru na wa haki wa marudio, wanategemea wafanye nini?!, kinachoniogopesha sio kile walichopanga kukifanya, bali harakati za kuhakikisha wanadhibitiwa ili wasitimize kile walichopanga!, hapa tafadhalini sana, msije kuwaona watu ni wabaya, ikibidi kutumia ubaya ili kuzuia ubaya mkubwa zaidi, then kuna justify matumizi ya ubaya kudhibiti ubaya mdogo kabla haujazaa ubaya mkubwa!.

Kuna mbegu fulani iliyopandwa itachipua, kuanza kuota na mwisho itazaa matunda!.

Tukiona kama vipi itakuwa taabu, basi bora watu warudi kwenye asili zao, wasije kutuletea dhahama kwenye visiwa vyetu hivi vitukufu, vilivyokombolewa kwa machozi, jasho na damu, kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Pasco
Unamatatizo makubwa kama kweli unaamini kuwa uchaguzi huu ni huru na wa haki.
Mnajenga chuki ya vizazi kwa vizazi baina ya pemba na unguja alafu unajifanya hujui impacts za huu ubakaji wa haki mnaofanya.
 
Hawa jamaa kuna jambo wamelipanga, ila wameishastukiwa!. Huku kususa kusiko na impact yoyote, ni wastage of time, ndio maana wenye busara bado wanajiuliza hao waliosusa, wamesusa ili kuachieve nini, na baada ya uchaguzi huu huru na wa haki wa marudio, wanategemea wafanye nini?!, kinachoniogopesha sio kile walichopanga kukifanya, bali harakati za kuhakikisha wanadhibitiwa ili wasitimize kile walichopanga!, hapa tafadhalini sana, msije kuwaona watu ni wabaya, ikibidi kutumia ubaya ili kuzuia ubaya mkubwa zaidi, then kuna justify matumizi ya ubaya kudhibiti ubaya mdogo kabla haujazaa ubaya mkubwa!.

Kuna mbegu fulani iliyopandwa itachipua, kuanza kuota na mwisho itazaa matunda!.

Tukiona kama vipi itakuwa taabu, basi bora watu warudi kwenye asili zao, wasije kutuletea dhahama kwenye visiwa vyetu hivi vitukufu, vilivyokombolewa kwa machozi, jasho na damu, kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Pasco
We jamaa ni bonge la snitch basi tu.
 
Pasco kweli yanatoka moyoni kwako....????
Moyoni huu ndio ukweli wenyewe, ukweli bayana kuwa uchaguzi wa leo ulikuwa huru na wa haki!.

Kujiandikisha ni kwa ridhaa sio lazima, na ukijiandikisha kupiga kura pia ni ridhaa sio lazima, na kuamua kutokupiga kura pia ni demokasia, hakuathiri uchaguzi huru na wa haki!.

Pasco
 
kama sijakosea niliwahi kusikia kuwa Zanzibar haikupatikana kwa njia ya makaratasi bali mtutu, so kama cuf watapenda kuchukua dola washike mtutu waingie msituni! ni dhahiri kuwa hata kama cuf wangelirudia uchaguzi na kushinda, wasingepewa inji! ni bora walijitoa mapema!
 
Moyoni huu ndio ukweli wenyewe, ukweli bayana kuwa uchaguzi wa leo ulikuwa huru na wa haki!.

Kujiandikisha ni kwa ridhaa sio lazima, na ukijiandikisha kupiga kua ni ridhaa sio lazima, na kua,ua kutokupiga kura pia ni demokasia, hakuathiri uchaguzi huru na wa haki!.

Pasco
Hapo imezungumza lakini sio kulaumu tu....!
 
kwa kuwa post za ukuu wa wilaya bado hazijatoka watu wanajitoa fahamu humu,kweli njaa ni mbaya sana aisee
 
Hawa jamaa kuna jambo wamelipanga, ila wameishastukiwa!. Huku kususa kusiko na impact yoyote, ni wastage of time, ndio maana wenye busara bado wanajiuliza hao waliosusa, wamesusa ili kuachieve nini, na baada ya uchaguzi huu huru na wa haki wa marudio, wanategemea wafanye nini?!, kinachoniogopesha sio kile walichopanga kukifanya, bali harakati za kuhakikisha wanadhibitiwa ili wasitimize kile walichopanga!, hapa tafadhalini sana, msije kuwaona watu ni wabaya, ikibidi kutumia ubaya ili kuzuia ubaya mkubwa zaidi, then kuna justify matumizi ya ubaya kudhibiti ubaya mdogo kabla haujazaa ubaya mkubwa!.

Kuna mbegu fulani iliyopandwa itachipua, kuanza kuota na mwisho itazaa matunda!.

Tukiona kama vipi itakuwa taabu, basi bora watu warudi kwenye asili zao, wasije kutuletea dhahama kwenye visiwa vyetu hivi vitukufu, vilivyokombolewa kwa machozi, jasho na damu, kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Pasco
Katafute gongo unywe
 
CUF imejiua kisiasa kwa kuogopa uchaguzi....hakuna chama cha siasa duniani kinahofia uchaguzi....CUF walitakiwa kuwashawishi wale wafuasi inayojidai kuwa nao wapige kura kwa wingi ili kuthibitisha madai yao....

Pole sana kwa CUF Leo hakuna fyokofyoko za kufukuza watu kituoni na kuanza kufanya mnayoyataka kufanya...yaani kuchakachua...leo ni haki kw haki...

UKISUSA WENZIO TWALA

Ulicho jibu sicho ulicho ulizwa hakipo katika mada hii, rudi. katika mada usiongozwe na mihemko...
 
Moyoni huu ndio ukweli wenyewe, ukweli bayana kuwa uchaguzi wa leo ulikuwa huru na wa haki!.

Kujiandikisha ni kwa ridhaa sio lazima, na ukijiandikisha kupiga kua ni ridhaa sio lazima, na kua,ua kutokupiga kura pia ni demokasia, hakuathiri uchaguzi huru na wa haki!.

Pasco

Sababu za msingi za kurudia uchaguzi zilikuwepo?........ au ulikuwa utashi wa kundi flani!?. Utaratibu wa kufuta matokeo ulifuatwa na wahusika!?....... au ni utashi wa kundi flani!?

Sio sahihi kuangalia tatizo kama tatizo, ili kuondoa tatizo ni kuangalia sababu zilizo sababisha tatizo kutokea. Hii ni kanuni tu na haibadiliki,kuwatuhumu Cuf na kuwaangushia mzigo ovu sio sahihi na sio ustaarabu,kama ipo mipango mibaya imepangwa na hao unaowasemea kuwa ni waovu si vipo vyombo vya usalama!?

Kwa sababu mmeamua kutawala kwa vifaru na mitutu ya bunduki Zanzibar ni sawa tu, ila kumbukeni hakuna maendeleo yanayo letwa na jamii isiyo kuwa katika umoja... Mmewatenga wananchi wa Zanzibar na chuki mmnayo ipalilia sote tutaathirika...
 
Hawa jamaa kuna jambo wamelipanga, ila wameishastukiwa!. Huku kususa kusiko na impact yoyote, ni wastage of time, ndio maana wenye busara bado wanajiuliza hao waliosusa, wamesusa ili kuachieve nini, na baada ya uchaguzi huu huru na wa haki wa marudio, wanategemea wafanye nini?!, kinachoniogopesha sio kile walichopanga kukifanya, bali harakati za kuhakikisha wanadhibitiwa ili wasitimize kile walichopanga!, hapa tafadhalini sana, msije kuwaona watu ni wabaya, ikibidi kutumia ubaya ili kuzuia ubaya mkubwa zaidi, then kuna justify matumizi ya ubaya kudhibiti ubaya mdogo kabla haujazaa ubaya mkubwa!.

Kuna mbegu fulani iliyopandwa itachipua, kuanza kuota na mwisho itazaa matunda!.

Tukiona kama vipi itakuwa taabu, basi bora watu warudi kwenye asili zao, wasije kutuletea dhahama kwenye visiwa vyetu hivi vitukufu, vilivyokombolewa kwa machozi, jasho na damu, kwenye yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Pasco
Hopeless comments
 
Pasco kumbe dc mtarajiwa....?!?? Hongera
asante maana na mimi nimesikia hivi hivi kama ulivyosikiaa wewe, tatizo la kwanza mimi sio CCM, hivyo kama sasa ma DC wanaokotwa tuu, then ningeishaokotwa siku nyingi!.

Pili mimi utumwani nilijikomboa siku nyingi, kutoka utumwani, hivyo hizi kazi za kuendelea kutumwa, ni kurejea utumwani, for what?!.

Pasco
 
Mimi naona Shein atakapoingia msikitini basi waislamu wakweli wanaochukia dhulma basi watoke hata kama watakuwa washaanza kusalli. Mungu atakuwa yuko radhi na hili
 
Back
Top Bottom