Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,142
- 4,179
Aisee watu mna mawazoDuuh jamaa atakua hoi wanawake wao wameanza kuingia Kahama kwa nguvu mnoo wanalalamiks njaa dau 5000 tu unapewa majimaji ya Kigali
Aisee watu mna mawazoDuuh jamaa atakua hoi wanawake wao wameanza kuingia Kahama kwa nguvu mnoo wanalalamiks njaa dau 5000 tu unapewa majimaji ya Kigali
MBOKA NA NGAIWakuu,
Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC.
Akitangaza vikwazo hivyo na jinsi vitakavyofanya kazi Waziri anaeshughulikia mambo ya nje wa Canada Bi Me'lanie Joly" amesema Canada imesitisha vibali vyote vya biashara kati yake na Rwanda na hakuna biashara yoyote itakayofanya kazi
Aidha kutohudhuria mikutano yoyote itakayohusu Rwanda, aidha Canada ipo mbioni kufuta visa zote kwa Rwanda
==============================================================
The Canadian government on Monday imposed sanctions on the government of Rwanda over the ongoing conflict in the Democratic Republic of Congo.
In a new directive given by the Canadian Ministries of Foreign Affairs, International Development and Export Promotion, International Trade and Economic Development, they have suspended issuance of permits for export of controlled goods and technology to the East African country.
Canada has also suspended government-to-government deals and support for private sector business.
The new directives have also put under review Canada’s participation in international events hosted in Rwanda, as well as Rwanda's proposal to host any such events in the country.
Canada’s Global Affairs office said that it had summoned the Rwandan High Commissioner in Canada to convey its stance against “Rwanda’s clear violation of DRC’s sovereignty and territorial integrity”, and to inform Rwanda of the measures.
The Canadian government further announced a $15 million for humanitarian assistance in the Democratic Republic of Congo to respond to the needs of crisis-affected people.
“The humanitarian situation in eastern DRC is critical and Canada remains committed to ensuring the most vulnerable are reached with lifesaving assistance. Canada is announcing.”
Source: Star Kenya
Atazuiwa yy peke yake. Wengine wataendelea kama kawaida. Tena yeyote atakayejaribu kumbeba, naye huyo atajumlishwamo kwenye vikwazo.Kwani anatumia peke yake??
Huyo jamaa kajanja jana juzi wamewekeana mkataba na Uganda hivyo atamtua Uganda kupitisha mizigo yake ninavyojua mimi kuna hiyo issue amejihami incaseAtazuiwa yy peke yake. Wengine wataendelea kama kawaida. Tena yeyote atakayejaribu kumbeba, naye huyo atajumlishwamo kwenye vikwazo.
Tena watakuwa na sababu yenye mashiko kwamba:Kenya na Tanganyika wakiamuaa asitumie bandari zao ,mwezi hauishi lazima akubali kila kitu.
Mbona hata huko Kenya atakuwa amezuiliwa kama Kenya na Tz tutakuwa letu ni moja? Tolu nasa genge lake watakuwa ni Land locked country.Huyo jamaa kajanja jana juzi wamewekeana mkataba na Uganda hivyo atamtua Uganda kupitisha mizigo yake ninavyojua mimi kuna hiyo issue amejihami incase