Baada ya Ubelgiji na Uingereza, Canada nayo yaiwekea vikwazo Rwanda kufuatia vita inayoendelea Congo

Mateso chakubanga

JF-Expert Member
May 10, 2021
568
738
Wakuu,

Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC.

Akitangaza vikwazo hivyo na jinsi vitakavyofanya kazi Waziri anaeshughulikia mambo ya nje wa Canada Bi Me'lanie Joly" amesema Canada imesitisha vibali vyote vya biashara kati yake na Rwanda na hakuna biashara yoyote itakayofanya kazi

Aidha kutohudhuria mikutano yoyote itakayohusu Rwanda, aidha Canada ipo mbioni kufuta visa zote kwa Rwanda

==============================================================

canada rwanda.png

The Canadian government on Monday imposed sanctions on the government of Rwanda over the ongoing conflict in the Democratic Republic of Congo.

In a new directive given by the Canadian Ministries of Foreign Affairs, International Development and Export Promotion, International Trade and Economic Development, they have suspended issuance of permits for export of controlled goods and technology to the East African country.

Canada has also suspended government-to-government deals and support for private sector business.

The new directives have also put under review Canada’s participation in international events hosted in Rwanda, as well as Rwanda's proposal to host any such events in the country.

Canada’s Global Affairs office said that it had summoned the Rwandan High Commissioner in Canada to convey its stance against “Rwanda’s clear violation of DRC’s sovereignty and territorial integrity”, and to inform Rwanda of the measures.

The Canadian government further announced a $15 million for humanitarian assistance in the Democratic Republic of Congo to respond to the needs of crisis-affected people.

“The humanitarian situation in eastern DRC is critical and Canada remains committed to ensuring the most vulnerable are reached with lifesaving assistance. Canada is announcing.”

Source: Star Kenya
 
Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC .

Kazi ipo
 
Ulaya

Ulaya yote ( bila kusahau Canada ni sehemu ya Uk) itaiwekea Rwanda vikwazo
 
Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC .

Akitangaza vikwazo hivyo na jinsi vitakavyofanya kazi Waziri anaeshughulikia mambo ya nje wa Canada Bi Me'lanie Joly" amesema Canada imesitisha vibali vyote vya biashara kati yake na Rwanda na hakuna biashara yoyote itakayofanya kazi

Aidha kutohudhuria mikutano yoyote itakayohusu Rwanda, aidha Canada ipo mbioni kufuta visa zote kwa Rwanda
Na sisi Tanzania tunasubiri nini kuiwekea vikwazo Rwanda?
 
Talu alijisahau sana mda mfupi ujao atakuwa kama ZELENSKI, hii dunia kama huna kitu ni marufuku kujitutumua.

📌📌📌Once used as a tissue paper your final destiny is in the trushhhhhh....never ever forget who you are!!!!
 
Na sisi Tanzania tunasubiri nini kuiwekea vikwazo Rwanda?
Tutaiwekea tunasubiri azimio la nchi ya DRC, Kenya , Sudan S.A maana Uganda na Rwanda juzi wameingia mkataba wa kushirikiana kijeshi na Kiuchumi pale Kigali saa kumi na nusu Jenerali Muhoozi Kainerugaba na Mjomba wake Pauloo Kagame na wana mpango wa kuunganisha Jeshi kuogopa uvamizi wa fulani maana eti wamenusa mavi ya mbuzi lakimi mbuzi wa kupandikiza asie na faida kwao maana mpandikizaji anapumulia P20
Bado Australia na Newsland kisha Denmark na Norway
Ukiona Canada kafanya hivyo nae USA muda si mrefu atamuunga mkono Canada maana USA anaitaka sana Canada kwab udi na uvumba iwe jimbo ndani ya USA
 
Felix Tshisekedi akili kubwa sana amshukuru sana THINK TANK XYG, Ulaya kaimaliza hayo ndii majibu ya ziara zake zote na amewekeana mikataba minono na nchi hizo Win Win situation, Bilateral economic contracts on DRC natural resources Kagame kaumbuka mnooooo
 
Wakuu,

Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo cha vurugu DRC.

Akitangaza vikwazo hivyo na jinsi vitakavyofanya kazi Waziri anaeshughulikia mambo ya nje wa Canada Bi Me'lanie Joly" amesema Canada imesitisha vibali vyote vya biashara kati yake na Rwanda na hakuna biashara yoyote itakayofanya kazi

Aidha kutohudhuria mikutano yoyote itakayohusu Rwanda, aidha Canada ipo mbioni kufuta visa zote kwa Rwanda

==============================================================

The Canadian government on Monday imposed sanctions on the government of Rwanda over the ongoing conflict in the Democratic Republic of Congo.

In a new directive given by the Canadian Ministries of Foreign Affairs, International Development and Export Promotion, International Trade and Economic Development, they have suspended issuance of permits for export of controlled goods and technology to the East African country.

Canada has also suspended government-to-government deals and support for private sector business.

The new directives have also put under review Canada’s participation in international events hosted in Rwanda, as well as Rwanda's proposal to host any such events in the country.

Canada’s Global Affairs office said that it had summoned the Rwandan High Commissioner in Canada to convey its stance against “Rwanda’s clear violation of DRC’s sovereignty and territorial integrity”, and to inform Rwanda of the measures.

The Canadian government further announced a $15 million for humanitarian assistance in the Democratic Republic of Congo to respond to the needs of crisis-affected people.

“The humanitarian situation in eastern DRC is critical and Canada remains committed to ensuring the most vulnerable are reached with lifesaving assistance. Canada is announcing.”

Source: Star Kenya
Thanks
 
Hao ndiyo wako serious!

Majirani zake tukiamua,hata mwezi hatoboi ananyoosha mikono.

*Asitumie bandari zetu.
*Shirika lake la ndege lisitue kwetu.
 
Back
Top Bottom