Wahasibu wanashuhudia CAG ananyanyasika kwa kukosa kupewa hela na wamekaa kimya,labda Zitto kabwe wa ACT Wazalendo awashitue wenzake wamsemee semee CAGDah, naona ustaarabu umebaki kwa wahasibu na NBAA yao!!
Mmejiroga wenyewe kwa uoga wenu na kukubali kuwa kama kinga ambayo hutumika kwa majira....Alieturoga walimu alituweza
Mmejiroga wenyewe kwa uoga wenu na kukubali kuwa kama kinga ambayo hutumika kwa majira....
Na kibaya zaidi kesha kufa.Alieturoga walimu alituweza
MWAFAA
Tumerogwa, mutuombee (in magu's voice)
Mainjinia wamekaa kimya wakati kampuni zao zinakufa,tenda zinatolewa jukwaani,mainjinia wenye kampuni binafsi wanashindwa kushiriki.Tulisema humu kuhusu udumavu wa vyama vya fani zingine kwenye thread hii
{Tumeona makali ya TLS na Chama cha Madaktari. Je chama cha mainjinia kinaoneshaje makali yake?}