Baada ya muda mrefu bila mahusiano nikawa nimempata Binti mzuri mtoto wa 2000 ila nimegundua ni mtu wa tamaa sana

Wewe ni nice man, weak man na hujielewi! Unashindana na mtu ambaye miaka kumi ijayo yeye ni limama wakati huo wewe ndo dam inaanza kuchangamka. Kama utakuwa umepambana na kujipata lakini.
 
Back
Top Bottom