sergio 5
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 9,319
- 10,564
Baada ya kukaa mda MREFU Sina mahusiano nikaamua ngoja nitest skills zangu wazee
Nikamtokea Binti mzuri mtoto wa 2000 akakubari ila nilipomsoma nikaja gundua ni mtu wa tamaa sana
He only check and call me akiwa na shinda na pesa na Mimi tu
Kuna siku tupo nae matembezi Kwa mguu alisema nimsindikize sehemu tukawa tunaenda Cha ajabu akapita msela wa boda mbele akamuita demu akaenda panda boda akaniacha niliumia wazee sema sikumwambia Toka siku iyo nikawa namuazibu Kwa hisia tu
Nikawa naongozana nae anapotaka ila nikikutana na pisi Kali naizingatia na kusifia mno ikawa namuona ananuna nuna sasa Leo pia tupo matembezini nikaona pisi nikaisifia ikabidi akasirike aanza kufoka eti hapendi tabia yangu nikamku,busha siku ile kaniacha na boda then nikarudi zangu gheto kupiga
Apo NIMEPIGAJE wazee