Edward nzinza
Senior Member
- Dec 19, 2016
- 116
- 60
usiseme wacha kazi ww unajua anafanya kazi gani,hujui huyo ndo anaelimisha mwanao hadi unatembea kifua mbele na kujitangaza kwa rafiki zako kuwa mwanangu kichwa kawapiga one form six!
Wafanyakazi wanafurahi pale wafanyabiashara wanapogoma kulipa kodi na kufunga maduka yaoHuku hapo jamaa analipa 993,360 kwa mwaka hiyo direct tax bado indirect tax za kumwaga kuwa mtumishi wa umma Tanzania uvumilivu wake ni zaidi ya kuwa chama cha upinzani
Nilikuwa namtetea sana sana lakini kwa sasa hapana, Elimu, uzoefu na maarifa yangu yatakuwa ni bure kabisa nikiendelea kumtetea kwa sasa.