Baada ya miaka 10 Materazzi kaweka wazi kilichomfanya apigwe na Zidane

Kisu Cha Ngariba

JF-Expert Member
Jun 21, 2016
22,135
48,824
65d5167a2a386486872c1b6331784e99.jpg

Beki wa kati wa zamani wa timu ya taifa ya Italia na klabu ya Inter Milan ya Italia Marco Materazzi , usiku wa July 8 2016 ameamua kuweka wazi kilichomfanya apigwe na nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa ambaye kwa sasa ni kocha wa Real Madrid Zidane .

Marco Materazzi ameweka wazi kilichomfanya Zidane ampige kichwa katika mchezo wa fainali ya Kombe la dunia 2006, tofauti na ilivyokuwa inaripotiwa na wengi, Materrazi amekuwa akiombwa na vyombo mbalimbali vya habari duniani lakini alikuwa akikwepa kuzungumzia suala hilo.

“Toka 2006 nimekuwa nikipokea maombi mengi ya kufanya interview, nimeamua kutoa kitabu kinachoeleza ukweli kwa sababu kila mtu anauliza ni nini nilimwambia Zidane hadi akapandwa na hasira na kunipiga kichwa, ni kweli maneno yangu yalikuwa ya kijinga lakini Zidane hakustahili kureact vile”

“Nimekuwa nikisikia vitu vingi kutoka katika miji jirani ya Rome, Naples, Turin, Milan Paris ila mimi nilimtusi kuhusu dada na sio mama yake kama nilivyosoma katika magazeti mengi, mama yangu alifariki nikiwa mdogo, hivyo nisingeweza kumtukania mama yake”
ccaef2b65c4f2cdbb38660e9e7438ee2.jpg

Source: Millard Ayo.
 
Mnataka kujua dadaake Zidane kafanya nini?..si mkitafute hiko kitabu maana kasema ameandika kitabu kuhusu hilo.
 
Inawezekana jamaa lilikua linagonga dada ake zidane.. Sa c unajua yale maneni ya kejeli be like "" unajifanya unahasira ya kufunga sio,sasa mi nikitoka hapa naenda malizia hasira kiunon kwa dada yako""
Na wewe ingekua karibu ungelamba kichwa tu kama sio ngumi ya chembe moyo maana hakuna namba!!!!
 
Back
Top Bottom