Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 19,947
- 21,966
- Thread starter
- #21
these are political dynamics, hutokea na lazma tukubali yametokea na kujiandaa kutokea zaidi na zaidi....Yaani mimi ni ACT lakini nasikia maumivu makali sana Msigwa kuhamia ccm, yule jamaa ana akili kubwa na hoja na ushawishi mkubwa kisiasa ni bora Msigwa kuliko viongozi wa wote wa chadema ata Tundu Lissu hamuoni msigwa nadhan Tanzania upinzani umeenda na maji,
Msigwa bora angestaafu siasa au chama chengine chochote gharama yake ni kubwa mno, mfano wa msigwa kuhama chadema labda ni kama vile kipindi kile tungesikia maalim seif ameiacha CUF na kurudi ccm. Ata Lipumba alipoiacha CUF hakukuwa na maumivu kama ninayoyahisi msigwa kutoka upinzani.
Nafkiri sasa napata picha Tanganyika hakuna viongozi madhubuti nimevunjia moyo sana
na by the way,
siasa hatustaafu tunapumzika tu 🐒