Baada ya matatizo, leo nimerudi nyumbani

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
633
2,822
Nyumban ni nyumbani, nina line za mitandao yote, miezi miwili iliopita, Voda walibadilka wakawa hawana kazi nikahamia tigo na airtel ambayo ili nipate kazi nzuri kwa eneo nilipo, ni lazima niitege simu sehemu fulani.

leo mambo yakawa tofauti, nikakumbuka nina line ya TTCL, nikaweka kwa kweli kumenoga, ndio niliko sasa hivi. nimerudi nyumani baada ya matatizo, nyumban ni nyumbani.
 
Back
Top Bottom