Taarifa za leo ni kuwa mpaka sasa wametumia dola bilioni moja lakini hakuna mafanikio yoyote,mji wa makombora wa chini wa houthi na vifaa vyao vipo salama,bwana trump kaongeza madege kuwatwanga houthi,dalili kabisa kwamba mambo hayajaenda sawaIran imeripotiwa kuwaamuru wanajeshi wake kuondoka Yemen na inapunguza uungaji mkono wake kwa Wahouthi huku kukiwa na mashambulizi makubwa ya anga ya Marekani dhidi ya kundi hilo la waasi.
Gazeti la Telegraph la Uingereza limemnukuu "afisa mkuu wa Iran" akisema kwamba Tehran inapunguza uungaji mkono wake kwa washirika wake wa kikanda ili kuzingatia vitisho vya moja kwa moja vinavyotokana na utawala wa Trump.
Afisa huyo pia anasema kuwa hatua hiyo kutoka Yemen imefikiwa ili kuepusha uwezekano wa kuongezeka msuguano na Marekani ikiwa mwanajeshi wa Iran atauawa katika mashambulizi ya anga ya Marekani huko.
Tehran inaelekeza nguvu zake badala ya jinsi ya kujibu Rais wa Marekani Donald Trump na orodha yake ya vitisho, na "hakuna kundi lolote la kikanda tulilounga mkono ambalo linajadiliwa," afisa huyo amenukuliwa akisema.
Aaah wapi tunakula magimbi wote hapaUpo Yemen Muda huu ?
Unataka nifatilie Aljazeera mdau wa Ugaidi?
View: https://x.com/inteltower/status/1907876472104349824?s=61
View: https://x.com/majeed66224499/status/1907884162935050708?s=61
View: https://x.com/defence_pk99/status/1907982554168180773?s=61
View: https://x.com/arifromkfarsaba/status/1908019573862858917?s=61
Hizo ni ndoto za Mwendawazimu!!!Wewe piga tu propaganda za wazayuni. Meli ya mzayuni na jinga lake marekani haziputi bahari nyekundu.
Babdari ya Eilat ya Mzayuni imeisha kufa kifo Cha mende.
Uchumi wa Israel unapumulia mashine, wa marekani ndio unakwenda kufa pia ndio maana Trump anatapatapa kutafuta Kodi za nguvu hajui akiongeza hizo Kodi za uagizaji bidhaa ni marekani mtumiaji ndio atalipa.
Dunia mpya inakuja , hakuna uzayuni , hakuna marekani.
Dunia mpya inakuja ya kusimika Islamic State itawale dunia chini ya Utawala wa Khalifa.Wewe piga tu propaganda za wazayuni. Meli ya mzayuni na jinga lake marekani haziputi bahari nyekundu.
Babdari ya Eilat ya Mzayuni imeisha kufa kifo Cha mende.
Uchumi wa Israel unapumulia mashine, wa marekani ndio unakwenda kufa pia ndio maana Trump anatapatapa kutafuta Kodi za nguvu hajui akiongeza hizo Kodi za uagizaji bidhaa ni marekani mtumiaji ndio atalipa.
Dunia mpya inakuja , hakuna uzayuni , hakuna marekani.