kunguni wa ulaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 4,131
- 6,111
jecha ana ZEC sio NEC.IEBC ni jipu. Cord wana point. Hakuna tofauti na NEC ya Jecha.
jecha ana ZEC sio NEC.IEBC ni jipu. Cord wana point. Hakuna tofauti na NEC ya Jecha.
Hapana sio kweli IPO tofauti na sisi sana,IEBC ni jipu. Cord wana point. Hakuna tofauti na NEC ya Jecha.
NEC Sio ya Jecha!IEBC ni jipu. Cord wana point. Hakuna tofauti na NEC ya Jecha.
Umesema kweli,mbona hata hapa Kenya walimu waliandamana mwezi mzima na haki yao wakapata?Afu hakuna fujo wala teargas iliyotumika?Watu wanajidai eti ni upinzani afu wanaingia maduka ya wakenya wenzao na kupora huku wakiharibu mali.Wapigwe kabisa!hivi mbona nchi za wenzetu wanaandamana kwa mambo makubwa kuliko hata haya lakn kunakua hakuna fujo fujo kama hz?
Hiyo tume ya uchaguzi ya sasa,Raila mwenyewe ndiye aliyewaingiza ofisini,alipokuwa waziri mkuu.Sasa hivi analialia,siasa duni hizo!kuna wapinzani wakiwepo ndani ya serikali hawafanyi yanayotakiwa lakini wakishatoka nje ya serikali ndipo utasikia wanadai haki ya kitu fulani.......raila alikuwa ndani ya uongozi serikalini,chini ya serikali ya umoja wa kitaifa hili swala la "TUME HURU YA UCHAGUZI" alishindwa nini kulitafutia ufumbuzi akiwa ndani ya serikali??
hivi mbona nchi za wenzetu wanaandamana kwa mambo makubwa kuliko hata haya lakn kunakua hakuna fujo fujo kama hz?
Mlevi uyo ndio jinsi walivyozoea uku kwetu anadhani kila Rais anawaza utumbo kama yeye.Unataka a deal na Raila!. Kwani Uhuru naye ni mpumbavu ambaye hawezi kuchambua watu wake wanaandamana kwa kutaka nini? Kwa nini kwanza unataka adeal na mtu badala ya kuangalia hoja inayolalamikiwa na kudeal nayo?
Mbona akili fupi sana na sioni quality ya uongozi? Au ndiyo unashamirisha utawala wa mabavu?
Kwani hawawez kubadilika!!?Hiyo tume ya uchaguzi ya sasa,Raila mwenyewe ndiye aliyewaingiza ofisini,alipokuwa waziri mkuu.Sasa hivi analialia,siasa duni hizo!
Ungejua tume za kiafrika usinge sema hvo, tume ya kenya mwanzoni ilikuwa furesh kabsa, ila walipo anza kulewa sifa na kunywa kahawa na watawala wanajisahau kabsakuna wapinzani wakiwepo ndani ya serikali hawafanyi yanayotakiwa lakini wakishatoka nje ya serikali ndipo utasikia wanadai haki ya kitu fulani.......raila alikuwa ndani ya uongozi serikalini,chini ya serikali ya umoja wa kitaifa hili swala la "TUME HURU YA UCHAGUZI" alishindwa nini kulitafutia ufumbuzi akiwa ndani ya serikali??