Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata timu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere.

Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore members wote wenye tabia ya kulike thread nzima.

Experience yangu JF imeboreka sana.
Likes ni tamu asikudanganye mtu🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom