This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,029
- 5,178
Yule Makambo mwenye goli moja msimu huu.Makambo kaishatua au huna habari
Yule Makambo mwenye goli moja msimu huu.Makambo kaishatua au huna habari
Mkuu jamaa hajui anachoongea anabwatabwata tu kishabikiSiku ya kusikiliza na siku ya huku huwa ni tarehe tofauti mkuu. Huo ndo utaratibu wa mahakama
Hakuna Kitu kibaya duniani kama Mtu mzima wa Mfano wako Kuandika Maelezo marefu yenye 'Foolish References' kama haya kisha ukajiona Umeandika mambo ya maana wakati kumbe Kiuhalisia ulichoandika ni 'Absolute Rubbish' pekee.Kuna Jambo naliona, Ngao ya Jamii Yanga Kucheza na Azam FC
Pasipo Shaka Tanzania inaenda kuandika historia yake katika Mchezo wa Mpira wa Miguu, Ni jambo ambalo wengi hawakutarajia kama linaweza kutokea, Kuna asilimia 80% Sasa kwa Klabu ya Simba kwenda kushuka daraja.
Wengi tulijaribu kutumia Elimu na Maarifa ambayo Mungu ametujaaliwa kutoa ushauri wakisheria na ushauri wakihekima kuwaomba wenye mamlaka ya soka Nchini kulitafutia ufumbuzi wa Kihekima juu ya tatizo la Bernad Morrison na Klabu yake halali ya Yanga lakini Bahati mbaya sana tulibezwa na watu kuchukulia mambo kishabiki zaidi. Bahati Mbaya sana mambo yameharibika hayawezi kutengenezeka tena. Bernad Morrison na Klabu ya Simba sasa wapo mdomoni mwa chatu, Chatu ambaye anavuta pumzi kulipa tumbo lake nafasi kwa ajili yakukiweka tumboni kile kilichopo mbele yake.
Logic reasoning
Kesi ya Msingi ambayo Yanga waliipeleka CAS ground yake ilikuwa madai ya YANGA "KUWA NA MKATABA HALALI NA BERNAD MORRISON"
Madai ya Pili ya Yanga
Yalikuwa, Klabu ya Simba kumrubuni Bernad Morrison kwa kumuahidi kumpa Dola Elfu kumi ambapo walimtangulizia Dola Elfu Tano ili aweze kukubali kusajiliwa na Klabu ya Simba ili hali alikuwa na mkataba na Klabu ya Yanga
Lakini pia Shauri B lilikuwa, Klabu ya Simba kumsajili Bernard Morrison akiwa ndani ya Mkataba na Klabu ya Yanga tena Shauri lake likiwa bado lipo katika kamati ya Sheria ya TFF.
Open fact
Kitendo cha CAS , kutoa Taharifa kuwa hukumu itatolewa tarehe 24/8/2021, Tafasiri yake nikwamba Bernad Morrison alikuwa na mkataba halali dhidi ya Klabu yake ya Yanga, Kama Shauri lakwanza la Yanga la madai kuwa Morrison Ana mkataba halali na Yanga lisingekuwa na ukweli, Basi kesi ingeishia hapa hapa kwenye hiki kipengele , CAS wasingekuwa na sababu yeyote ya kwenda kusikiliza tena vipengele B na C . Ambavyo Klabu ya Yanga inailalamikia Klabu ya Simba kumrubuni na kumsajili Bernad Morrison ili hali Ana Mkataba na Klabu ya Yanga
Bahati Mbaya sana Shauri hili wakati linajadiliwa kwenye kamati ya Sheria ya TFF , Chini ya Mwenyekiti Mwanjala walishindwa kujikita kwenye Determination of contract extension
Element kuu mbili za kisheria ambazo zimemuangusha Bernad Morrison katika Shauri hili ni
(a) Facts and (b) Defective on the case ground
Jkt Ruvu Kutoshuka Daraja
Kikanuni Klabu ikiwa imemchezesha mchezaji ambaye Ana mkataba na Klabu nyingine, Basi adhabu yake ni kunyang'anywa point katika mechi zote ambazo mchezaji husika ametumika kucheza.
Fact reference ya hukumu
Klabu ya AS VITA inayoshiriki ligi kuu ya Kongo, msimu huu imenyang'anywa Point na Ubingwa baada yakumchezesha Mchezaji anayeitwa Zao Matutala ambaye kipindi wanamtumia alikuwa na kesi CAS kama hivi ilivyo kwa Bernad Morrison, Bahati Mzuri AS VITA mchezaji huyu walimtumia kwenye Mechi Tatu tu za Ligi, Ambapo AS VITA walinyang'anywa point 9 baada ya Zao Matutala kushindwa kesi, Kutokana na AS VITA kunyang'anywa point 9 TP MAZEMBE wakajikuta wanakuwa Mabingwa wa Ligi kuu ya Kongo kwa msimu wa 2021/2022
Kwanini hukumu haijatolewa leo?
Kuna kitu kinaitwa Documents compile
Hii ni stage yapili kutoka mwishoni kabla yakutoa Taarifa ya hukumu
Kwasasa CAS wanacompile documents ili waweze kutoa hukumu
Katika tukio hili lakihistoria JKT RUVU yenye Point 29 itasalimika kushuka Daraja, na Klabu yetu ya Simba itaungana na Gwambina Fc yenye Point 35, Ihefu yenye Point 35 na Mwadui yenye Point 19
Rage naye kaamka usingzini, anasema kesi hii ngumu
Siku zote tunajifunza kutokana na makosa, Ingawa funzo hili ni chungu lakini naamini litakuwa funzo kwenye tasnia ya Mpira wa miguu Nchini
Mwikwabi James
Legendary
0766074160
Upande wao kule hii ni Idara moja. Tena ipo chini na Babura Gonzalenzi. Hahahah.Yanga ni taasisi, na sio mtu!
Na kama ni taasisi, kesi dhidi ya Morrison hawezi kukwamisha kusaka wachezaji wengine kwa sababu idara inayohusika na makesi ni tofauti na idara inayohusika na kusaka wachezaji wengine!!
Kichwa chake kimejaa kamasi za manara. Atawezaje kulitambua hilo?Siku ya kusikiliza na siku ya huku huwa ni tarehe tofauti mkuu. Huo ndo utaratibu wa mahakama
Yanga SC alimaliza Usajili kabla ya tarehe 3-8-2021.We waache wabakie na mambo ya kesi wasifanye usajili.
Afu waanze kusema simba inabebwa, TFF wote simba,mara sijui nini..
Nyie endeleeni na habari za morison
😂Pole kwa ujinga wako. Suala la kusikiliza na kuhukumu ni la mahakama. Umeonyesha umbumbumbu wako maana hata Mzee Aden Rage aliwahi sema mashabiki wa Simba ni mbumbumbu. Wewe tuliza chupi kubwa kama ile ya Morrison usubiri hukumu. Useless.
Ni wa Kikanuni za FIFA / wa Kienyeji tu?Yanga SC alimaliza Usajili kabla ya tarehe 3-8-2021.
Mwakalebela huyu mlevi wa mataputapu?Ailiitukana sana Yanga na kumkejeli Mwakalebela na kitambi chake.
Subira huvuta kheri,juha atajulikana hivi karibuniUshauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu.
Ndani ya Mwezi Mzima mmekuwa mkihangaika Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa Leo ndiyo Leo na nasikia mlijazana kama Mchwa Klabuni Kwenu Kufuatilia Mwenendo wa Kesi ambayo mliamini itakuwa upande Wenu Kimaamuzi mkasahau kuwa Wakili wa Kizungu aliyeko pale CAS ni Wakili Njaa na Mbabaishaji kama huyu Wenu Alex Mgongolwa na hatimaye Kesi imerushwa tena tarehe mpaka 14 August, 2021.
Nakumbuka Mtaalam wa Sheria za Soka hasa za CAF na baadhi za FIFA Mzee Ismail Aden Rage mwanzoni kabisa aliwaonya kuwa kwa Kesi yenu ilivyo huko CAS mnaenda kutoka patupu na Pesa yenu mliyotoa inapotea bure mkampuuza kwakuwa Yeye ni Mtu wa Simba SC.
Juzi juzi tu hapa katika Mkutano wenu Mkuu Kipenzi chenu wana Yanga SC na Rais Mstaafu Mzee Kikwete nae aliwaambieni kuwa achaneni na hiyo Kesi na msonge mbele na mambo ya Msingi hamkumuelewa pia na sasa taratibu mnaanza Kuumbuka na mtakuja Kuumbuka zaidi hiyo tarehe 14 Agosti, 2021.
Na mlivyo Majuha nasikia leo mkiamini kabisa Hukumu itakuwa upande wenu na mtashinda mlikuwa mmeshawaandaa Watangazaji na Wachambuzi wa Redio pamoja na Wahariri wa Habari za Michezo nchini ili wainange mno Simba SC Redioni na katika Magazeti yao ya Michezo sasa imekula Kwao ( Kwenu ) Kudadadeki.
Kwakuwa hamna Akili sasa nawaibieni Siri kuwa Kitendo cha Mahakama hiyo ya CAS Kuahirisha Hukumu leo ni kwamba wanataka Kujiridhisha kutoka TFF (ambayo Yanga SC mnaichukia mkisema ina Usimba mwingi) juu ya walivyoiamua Kesi na Kuiamua na kwakuwa TFF nao wameshawachokeni safari hii nao ( TFF ) wataambatanisha mpaka vile Vielelezo vyenu (Yanga SC) vya Kufoji (Kughushi) Saini ya Mchezaji Bernard Morrison na zile Fomu zenu Mbili ambazo zilisainiwa Kurasa za mbele tu na siyo zote kama ambavyo Sheria za Mkataba zinavyotaka duniani kote.
Kama ninawaona vile mlivyonuna sana.
Ndio huyo aliye jenga hoja mpaka wazungu wamemsikiliza CAS nahatimaye kesi inasikilizwa, kuna watu barua yao ipo FIFA tokea 2016,ili Yanga anyang'anywe ubingwa wa 2016/17,sijui barua hiyo imeishia wapi, labda mzee wa MIA SABA kama angekuwepo angetusaidia.Mwakalebela huyu mlevi wa mataputapu?View attachment 1873550
Kuna Jambo naliona, Ngao ya Jamii Yanga Kucheza na Azam FC
Pasipo Shaka Tanzania inaenda kuandika historia yake katika Mchezo wa Mpira wa Miguu, Ni jambo ambalo wengi hawakutarajia kama linaweza kutokea, Kuna asilimia 80% Sasa kwa Klabu ya Simba kwenda kushuka daraja.
Wengi tulijaribu kutumia Elimu na Maarifa ambayo Mungu ametujaaliwa kutoa ushauri wakisheria na ushauri wakihekima kuwaomba wenye mamlaka ya soka Nchini kulitafutia ufumbuzi wa Kihekima juu ya tatizo la Bernad Morrison na Klabu yake halali ya Yanga lakini Bahati mbaya sana tulibezwa na watu kuchukulia mambo kishabiki zaidi. Bahati Mbaya sana mambo yameharibika hayawezi kutengenezeka tena. Bernad Morrison na Klabu ya Simba sasa wapo mdomoni mwa chatu, Chatu ambaye anavuta pumzi kulipa tumbo lake nafasi kwa ajili yakukiweka tumboni kile kilichopo mbele yake.
Logic reasoning
Kesi ya Msingi ambayo Yanga waliipeleka CAS ground yake ilikuwa madai ya YANGA "KUWA NA MKATABA HALALI NA BERNAD MORRISON"
Madai ya Pili ya Yanga
Yalikuwa, Klabu ya Simba kumrubuni Bernad Morrison kwa kumuahidi kumpa Dola Elfu kumi ambapo walimtangulizia Dola Elfu Tano ili aweze kukubali kusajiliwa na Klabu ya Simba ili hali alikuwa na mkataba na Klabu ya Yanga
Lakini pia Shauri B lilikuwa, Klabu ya Simba kumsajili Bernard Morrison akiwa ndani ya Mkataba na Klabu ya Yanga tena Shauri lake likiwa bado lipo katika kamati ya Sheria ya TFF.
Open fact
Kitendo cha CAS , kutoa Taharifa kuwa hukumu itatolewa tarehe 24/8/2021, Tafasiri yake nikwamba Bernad Morrison alikuwa na mkataba halali dhidi ya Klabu yake ya Yanga, Kama Shauri lakwanza la Yanga la madai kuwa Morrison Ana mkataba halali na Yanga lisingekuwa na ukweli, Basi kesi ingeishia hapa hapa kwenye hiki kipengele , CAS wasingekuwa na sababu yeyote ya kwenda kusikiliza tena vipengele B na C . Ambavyo Klabu ya Yanga inailalamikia Klabu ya Simba kumrubuni na kumsajili Bernad Morrison ili hali Ana Mkataba na Klabu ya Yanga
Bahati Mbaya sana Shauri hili wakati linajadiliwa kwenye kamati ya Sheria ya TFF , Chini ya Mwenyekiti Mwanjala walishindwa kujikita kwenye Determination of contract extension
Element kuu mbili za kisheria ambazo zimemuangusha Bernad Morrison katika Shauri hili ni
(a) Facts and (b) Defective on the case ground
Jkt Ruvu Kutoshuka Daraja
Kikanuni Klabu ikiwa imemchezesha mchezaji ambaye Ana mkataba na Klabu nyingine, Basi adhabu yake ni kunyang'anywa point katika mechi zote ambazo mchezaji husika ametumika kucheza.
Fact reference ya hukumu
Klabu ya AS VITA inayoshiriki ligi kuu ya Kongo, msimu huu imenyang'anywa Point na Ubingwa baada yakumchezesha Mchezaji anayeitwa Zao Matutala ambaye kipindi wanamtumia alikuwa na kesi CAS kama hivi ilivyo kwa Bernad Morrison, Bahati Mzuri AS VITA mchezaji huyu walimtumia kwenye Mechi Tatu tu za Ligi, Ambapo AS VITA walinyang'anywa point 9 baada ya Zao Matutala kushindwa kesi, Kutokana na AS VITA kunyang'anywa point 9 TP MAZEMBE wakajikuta wanakuwa Mabingwa wa Ligi kuu ya Kongo kwa msimu wa 2021/2022
Kwanini hukumu haijatolewa leo?
Kuna kitu kinaitwa Documents compile
Hii ni stage yapili kutoka mwishoni kabla yakutoa Taarifa ya hukumu
Kwasasa CAS wanacompile documents ili waweze kutoa hukumu
Katika tukio hili lakihistoria JKT RUVU yenye Point 29 itasalimika kushuka Daraja, na Klabu yetu ya Simba itaungana na Gwambina Fc yenye Point 35, Ihefu yenye Point 35 na Mwadui yenye Point 19
Rage naye kaamka usingzini, anasema kesi hii ngumu
Siku zote tunajifunza kutokana na makosa, Ingawa funzo hili ni chungu lakini naamini litakuwa funzo kwenye tasnia ya Mpira wa miguu Nchini
Mwikwabi James
Legendary
0766074160
Ndio huyo aliye jenga hoja mpaka wazungu wamemsikiliza CAS nahatimaye kesi inasikilizwa, kuna watu barua yao ipo FIFA tokea 2016,ili Yanga anyang'anywe ubingwa wa 2016/17,sijui barua hiyo imeishia wapi, labda mzee wa MIA SABA kama angekuwepo angetusaidia.
Mara yule jamaa wenu wa MIA SABA aliwaaminisha kesi hamna, tulieni tusubiri hukumu agosti 24.Naona double back to back imewachanganya haswa! Mnatia huruma sana Utopolo
Babura anasubiri wengine tu walete fyokofyoko ili na wenyewe awashughulikie...Upande wao kule hii ni Idara moja. Tena ipo chini na Babura Gonzalenzi. Hahahah.