Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
Baada ya kutangazwa kifo cha J.K. Nyerere mnamo mwaka 1999, where were you and how did you react spontaneously?
wakuu leo naomba tukumbushane baada ya kutangazwa kwa kifo cha baba wa taifa, naomba kujua reaction yako ya kwanza ilikuwaje kwako na kwa wale uliokuwa nao mazingira yale uliyokuwapa (kama ni bar, kanisani, nyumbani, kwenye chombo cha usafiri, etc)
Mimi nakumbuka wakati mheshimiwa mkapa anatangaza kifo cha mwalimu, nilikuwa Pemba na watu kama 10+ tulikusanyika kuzunguka redio ya kijiji huku wengine wakitokwa na machozi wasijue nini cha kufanya kwa kuwa "NGUZO ILIKUWA IMEDONDOKA"
Nikaja kuambiwa kuwa kuna baadhi ya watu walizimia mpaka siku mbili bila kunyanyuka
kwako wewe mwanajukwaa wa hapa JF how did you react???!!!!!!!!!!