GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile Shilingi 870 ulizosema Mkutanoni kuwa huwa unatoa na utaendelea kutoa hadi Mchakato wa Uwekezaji utakapokamilika?
Baadae nakuja na Uzi MAALUM wa kusema Mo Dewji TUACHIE SIMBA SC yetu na naamini nitaungwa sana tu mkono. Na nichukue pia nafasi hii kuwaomba sana Radhi Viongozi akina Murtaza Mangungu na Salim Abdallah Mhene 'try again' kwa Kuwashambulia mara kwa mara hapa JamiiForums nikidhani Wao ndiyo Wabaya ndani ya Klabu.