Haya majitu ni maumbwa yanayovaa suti.Halafu hao CCM kila siku wanajifanya kuhubiri Amani na kuwaambia Vingozi wa dini waiombea Amani inchi,kwa huu ujinga unaoedele sizani? Na kina shekhe Mwaipopo haya huwa hawayaoni yanayofanyika kwa matendo ila ya Lissu akiongea akitaka haki ndiyo wanayaona na kusema anataka kuvuruga Amani
OMBA Mungu isifike SIKU ambayo wote tutalia kama taifa kwasasa wanalia CHADEMA pekee ila Kuna SIKU tutalia kama nchi tuombe sana isifike hiyo SIKU.Kama huna kazi za kufanya dawa ndo hiyo unakamatwa unaenda kuachiwa hata chalinze ili upate kazi ya kurudi kwako, hamna haja ya kujaza watu magereza kwa kesi ya uzembe na uzururaji
Ukiwadharau inapunguza nini au kuongeza nini? Mbona mahakamani hujajitokeza leo?Wanafanya maigizo ya kitoto sana. Ni kama mavichwa yao yaligongeshwa wakiwa watoto. Mnawakamata watu hawana silaha, mnawapiga na kuwatupa kwa pori.
Hii polisi ina tofauti gani na vibaka wanaokwapua watu. Mimi ndiyo maana huwa nawadharau kila napokutana nao.
ni vizuri kuepuka udhalilishaji na dhihaka kwa wamama wa JF, mama yako mzazi, mama yangu mzazi na mama wazazi wote wa wadau wengine wa JF.Umeambiwa kafumaniwa na mama yako.
Wewe mbwa uliyehanithiwa achana namimi. Utaolewa acha kuja kinyumenyume kenge usiye na mabaka wewe. Tena unikome mngese wewe mshxxxiieeewwwUkiwadharau inapunguza nini au kuongeza nini? Mbona mahakamani hujajitokeza leo?
Acha ndoto za asubuhi dogo unatamani machafuko wakati tangu uzaliwe hujawahi kuskia hata sauti ya risasi zaidi ya kuangalia kwenye movie, hiyo siku ambayo una ndoto nayo ikifika huu ushujaa wako wa nyuma ya keyboard wenyewe hautakua nao tenaOMBA Mungu isifike SIKU ambayo wote tutalia kama taifa kwasasa wanalia CHADEMA pekee ila Kuna SIKU tutalia kama nchi tuombe sana isifike hiyo SIKU.
Tandika kabisaaaa....Makamu Mwenyekiti Zanzibar Mhe. Said Mzee Said, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahim Juma na wengine 10 wakiwemo waandishi wanne walikuwa wamekamatwa mapema leo wameachiwa maeneo ya pori la Mabwepande, Kawe wakiwa wamepigwa na kuumizwa sana na Jeshi la Polisi.
Wameumizwa sana na sasa wanapelekwa hospitali ya Mwananyamala.
View attachment 3313962View attachment 3313963
View attachment 3313966
Huna tusi jipya ? Mdomo mrefu nyuma ya keyboardWewe mbwa uliyehanithiwa achana namimi. Utaolewa acha kuja kinyumenyume kenge usiye na mabaka wewe. Tena unikome mngese wewe mshxxxiieeewww
Huniwezi kwa lolote wewe unayepumuliwa ili ule na hapa ndiyo umefika mwisho kujibiwa namimi maana nakuweka kwa 🚮 kama vichaa wenzako. Mwanaume mzima unalamba watu matacle ili ule hebu achana namimi maji marefu huniwezi. Takataka.Huna tusi jipya ? Mdomo mrefu nyuma ya keyboard
Huyo yuko mbinguni ameshakufa....Acha ndoto za asubuhi dogo unatamani machafuko wakati tangu uzaliwe hujawahi kuskia hata sauti ya risasi zaidi ya kuangalia kwenye movie, hiyo siku ambayo una ndoto nayo ikifika huu ushujaa wako wa nyuma ya keyboard wenyewe hautakua nao tena
Jidanganye...Kutapambazuka
Nikuweze wa kazi gani mjinga mmoja wewe, yani mi nihangaike kumuweza mtu mjinga mjinga?Huniwezi kwa lolote wewe unayepumuliwa ili ule na hapa ndiyo umefika mwisho kujibiwa namimi maana nakuweka kwa 🚮 kama vichaa wenzako. Mwanaume mzima unalamba watu matacle ili ule hebu achana namimi maji marefu huniwezi. Takataka.
Wewe mimi uwa sibishani na maboga ,nitakupiga viboko endelea na mazoea sasa uoneJidanganye...