Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,728
- 729,899
Nguvu waliyo nayo CHADEMA imewatisha sana
Ari waliyo nayo CHADEMA imewaogopesha sana
Uchaguzi wa kwanza serikali za mitaa uliosababisha mauaji ya wapinzani wengi kwa wakati mmoja
kuna kivuli kinawatisha sana na ndicho kinachowafanya watende mambo ya kikatili sana
Uchaguzi mkuu ni miezi 12 ijayo muda hautoshi kujipanga tena kuiba na Kuua.. Hivyo nguvu kubwa sana imeelekezwa kuifarakanisha CHADEMA kupitia
Makamu mwenyekiti na mwenyekiti
Zinatengenezwa clip za kila aina lakini wasichojua ni kwamba wanaojaribu kuwagombabisha wanaujua mchezo mzima
CHADEMA sio chama cha watu wachache! Chadema ni mfumo! Ni tumaini ni furaha ni pumzi ya mamilioni ya wanannchi! Misingi yake imejengwa kwenye mwamba imara sana!
CHADEMA HAIFI LEO WALA KESHO