MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Hata kama Tanzania ndiyo ya kwanza ndugu Mimi nimependa kuona wahusika ndiyo wameamka sasa na kuanza kujipanga na kuongea ni aibu sana kwa Taifa na hasa vyombo vyetu vilivyopewa dhamana ya kushughulika na madawa ya kulevya baada ya Makonda kupiga kelele kidogo tu...walikuwa wapi??Mimi paka sasa sijaona vita alivyopigana kuhusu madawa ya kulevya. Kutaja mateja hata wewe unaweza kwenda polisi au kumpiga simu au kunyetisha kwenye media kwamba fulani ni teja au ni muuza madawa. Hakuanza yeye kila siku watu wanakamatwa kwa taarifa kama hizo. Labda tofauti yeye ni kutangaza kwenye media kwa kutumia cheo chake. Hata hivyo hawezi kukamata wauzaji kwa kuwaita kesho njoo polisi haijawahi kutokea Duniani na haitatokea tena eti muuza nganda ataitwa njoo kesho kituoni wewe unauza nganda, maana yake aondoe evidence. Eti mnamsifia hii kitu ipo Tanzania tu. Hata prime minister amekataza maana si sahihi
Hii biashara kuna watu wananufaika nayo na hawana moyo dhati kushughulikia.