lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,574
- 26,201
Hivi nyie kina "dada" wanaume wa aina ya steve huwa mnawaelewaga?? Kwajinsi wanawake wasivyopenda mtu asiyeweza kusimamia kauli zake huyu sijui kama mkewe hajamuacha hadi leo!Matatizo ya kuishi mjini kiujanja ujanja, kule alisema mako hana maana wala hataongea nae tena, kwenye press conference anasema mheshimiwa mkuu wa mkoa natimiza majukumu yake.