mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 86,994
- 120,255
Syo mbaya nyie mtaendelea muunga mkono kununua bidhaa zake!Ma bavicha wanawaonea wivu wenzao wa uvccm kuchukua kifaa ambacho hakijatumika sana kulinganisha na kile walicho kuchukua wao juzi ambacho kilikuwa kimeshatupwa!
Ova