B-12-XXL ya Clouds FM kibarua chake matatani

Kennedy bado sana, hata mika 100, hawezi kumfikia King of the Afternoon show... ama nininn.....! Huku BABA Johniii akichombeza na mautani, afekecheee.....nafasi ya dwasiii...! XXL ni hatari .. yaani hawa jamaa ni sawa MSN!...

Unabishaaa....!
Ndo radio gani hyo
 
Kennedy bado sana, hata mika 100, hawezi kumfikia King of the Afternoon show... ama nininn.....! Huku BABA Johniii akichombeza na mautani, afekecheee.....nafasi ya dwasiii...! XXL ni hatari .. yaani hawa jamaa ni sawa MSN!...

Unabishaaa....!
Hivi hiko kipindi si bado kinatangazwa mchana?? Mnakisikilizaje sasa?? Au nyinyi ni jobless hamna shughuli za kufanya mnashinda nyumbani kukata nyanya na dada zenu huku mkusikiliza hao wapuuzi??
 
Unapenda sana kudiscuss watu mitandaoni we kijana.. Sijawahi kukuona ukidiscuss issues humu hata siku moja.. Kuwa makini na maisha yako
unanifuatilia sana aisee, vizuri halafu hili ni jukwaa la kujadili watu maarufu sasa sijui ulitaka nijadili mada gani humu
 
Sijui nani ameniroga mimi walllahi,mbio za maisha hizi yaani uyo Kennedy sijawahi msikia nina muda sijasikiliza xxl aseee ina maana B12 kashukua kiwango au zengwe tu maana jamaa kwa show za mchana week days alikua anafanya poa sana kwenye vipindi vya burudani.
Wanaochangia hapa wengi ni form four leavers.. Hata haya maisha unayoyaongelea hapa hawayajui.. Wanashinda salon kusilikiza radio siku nzima
 
Naona wewe si mfuatiliaji wa kipindi cha XXL, kama unakumbuka kuna kipindi B Dozen hakuwepo kwa mda pale Clouds na kipindi kilidoda sana.

Level ya Dozen iko juu sana na huwezi linganisha na Kennedy, labda umchukue George Bantu na Kennedy warudi kufanya kipindi chao cha The Cruise pale EA Radio hapo ntakuelewa.
 
si kama wewe unavyonifuatilia mimi mkuu au kuna tofauti
Mimi sikufatilii nakuona ukifanya huu ujinga nahurumia maisha yako... 3/4 ya post zako humu JF umezielekeza jukwaa hili, ni JF ndio inasema hivyo sio mimi.. Jitathmini upya kijana, hata Nifah anakushinda yeye pamoja na kuwa mtoto wa kike ila kwenye michezo yupo, siasa yupo, anajadili issues..
 
Back
Top Bottom