asee em kuwa na adabu weweMama ake ki nae ni mjinga tu,anatakiwa apambane na mwanae sio tena rais wa yanga
asee em kuwa na adabu weweMama ake ki nae ni mjinga tu,anatakiwa apambane na mwanae sio tena rais wa yanga
huyo KiAzi z mwenyewe mbona anaongea kiingereza pori. taifa lao ni francophone countrySiamini Mama wa Aziz Ki anaandika kiingereza kibovu vile.
Hii wametengeneza wabongo wenye wivu.
Wanaume wa Dar es Salaam wakiwa kwenye mazungumzo:Mama wa Mshambuliaji wa Yanga Stephanie Aziz Ki "Sanata Ki" amemvaa rais wa Yanga Eng Hersi Said kwa kusimama kama mwakilishi wa familia kwenye maandalizi ya harusi ya mtoto wake bila yeye kushirikishwa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa
"Hersi ngoja nikuambie kitu, wewe si mtu wa kupanga harusi ya mwanangu, wewe ni kiongozi masikini tu anayetaka kwa hali yoyote kwa damu au moto, kumbakisha kijana huyu Tanzania.
"Unaweza kuandaa harusi yake ikiwa ana furaha alhamdoulilah... Lakini usimtajie kile ambacho si Kweli... Unatumia maisha yako kusema uwongo. Hiyo ni wewe usiiweke familia hii ya thamani katika upuuzi wako, sawa?, Usijali atakua Mungu ni mmoja.
"Vipi nimekupa ruhusa ya kuandaa na wakati sipo, inakuwaje?, Inakuwaje msichana anataka Mwanaume bila kujaribu kujua familia yake, Ilikuwa sehemu ya mkataba wake, kazi na mpira wa miguu ndivyo hivyo."- Ameandika Sanata Ki.
Hii Ndoa kwa Mapungufu kadhaa ninayoyaona ikidumu Mwaka Mmoja basi 'Nitaukweka' kutoka Kampala hadi Dodoma.
Mama wa Aziz amefanya interview kadhaa kwa kiingereza safi kabisa amesoma soma kidogo.Haandiki kiingereza. Kule hawaongei kiingereza, ni translations kwenda ngeli ndo inazinguaga especially kama kulikuwa na typing errors
Grammar yupo vizuri ila accent na fluency yupo ovyo.huyo KiAzi z mwenyewe mbona anaongea kiingereza pori. taifa lao ni francophone country
Bora umesema maana mimi habari yote sijaielewa ya kiingereza na ya kiswahili piaSiamini Mama wa Aziz Ki anaandika kiingereza kibovu vile.
Hii wametengeneza wabongo wenye wivu.
🤣🤣🤣
Nimecheka mnooo kile kicheko mwisho kinaishia na alibhobhoooo aaaah
Mapenzi ya hawa wawili yametokana na yanga,,,pengine wamefikia kuoana baada ya kugundua mambo mengine wakiwa ndani ya uhusiano. Lakini Pesa sio sababu,,,Hamisa ana pesa pengine kuliko Aziz Ki.Hamisa aliyekuwa na Rick Ross, Diamond na Majizzo ndo atatuliwa kwa Aziz K? Jamaa ni mshamba hata hajishtukii hao waliopita sidhani kama anaweza kufikia hata nusu ya hela walizonazo
Hujamuona Bakari Mwanyeto yeye ndio Mjomba wake Aziz K. Mkude ndio cousin wake wakati Pacome ndio mzazi wa Azizi K. 😀😀😀Unajuwa hata mimi nimestaajabu kwa kweli, yaani hakuna hata mjomba au cousins wake na Aziz Ki
Ujasiriamali si lazima uwe na leseni ya biashara, tin no au kusajiri biashara brelaUjasikimali wa biashara gani na gani ?
Analipia kodo mamlaka za kodi ?