Azam Imekamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji

Smart codetz

Senior Member
Jan 25, 2023
188
747
DONE DEAL ✅

Tumefikia makubaliano na klabu ya Stade Malien (Mali) ya kumsajili kiungo mshambuliaji wao, Franck Tiesse.

Nyota huyo Muivory Coast, amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili utakaonza rasmi msimu ujao 2024/25.

Welcome to Azam FC, Tiesse! 👏

20240430_203336.jpg
 
View attachment 2977700
Hiyo timu ndio Yanga walimtoa yule beki MAMADOU DOUMBIA hata kuzima mpira hawezi. Yuko AVIC TOWN NI MPISHI WA MAJINI.

KONKONI ni Mkata Magogo ya kupikia.
KAMBOLE ni Muosha Vyombo.
GIFT FRED ni Mfua nguo zao.
Halafu utakuta jitu na Vindevu uchwala vyake ooooh JOBE JOBE maninaaaaaaa! Huyo Kambole yuko wapi, huyo Konkoni je?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom