Awamu ya viwanda - Tanzania yaanza kuunda ndege zisizo na rubani

Ni nani anayeboa Kati yetu na nyie? miaka 60 ya kujitawala tumeshindwa hata kutengeneza stick za meno eti nazo zinatoka China, miaka 60 bado mnahakiki vyeti na kuua watu wanaowakosoa,miaka 60 mmeanza kuomba misaada hadi Morocco, miaka 60 ya Uhuru mmeshaomba wataalamu wa IT Rwanda, leo hii eti mnataka kutengeneza drone, ni kichekesho kama siyo wazimu, kiwanda cha magari cha ya Nyumbu kibaha mlikiua, viwanda vyote mliua, mmeona ni bora muanze kupora mafao ya wafanyakazi, eti hii nyie ndo mtengeneze drone?
Labda drone ya ungo, mnachekesha kweli nyie.
wajibu wa kuwa na uvumbuzi hata wa stick ni wa nani pekee??
 
Huwa nacheka sana Napolitano na home kama ya kwako maana nijiridhisha ujamaa ukijaribu kizazi chote cha kitanzania,kwa hiyo wewe kwa akili yako ulitaka govt ndo wajenge hicho kiwanda cha toothpick na sio kwamba wewe ndo umeshindwa
Usimpinge kirahisi namba hiyo , anayo hoja nzito sana .
 
Ni nani anayeboa Kati yetu na nyie? miaka 60 ya kujitawala tumeshindwa hata kutengeneza stick za meno eti nazo zinatoka China, miaka 60 bado mnahakiki vyeti na kuua watu wanaowakosoa,miaka 60 mmeanza kuomba misaada hadi Morocco, miaka 60 ya Uhuru mmeshaomba wataalamu wa IT Rwanda, leo hii eti mnataka kutengeneza drone, ni kichekesho kama siyo wazimu, kiwanda cha magari cha ya Nyumbu kibaha mlikiua, viwanda vyote mliua, mmeona ni bora muanze kupora mafao ya wafanyakazi, eti hii nyie ndo mtengeneze drone?
Labda drone ya ungo, mnachekesha kweli nyie.
Umeandika kwa uzito unastahili .
 
Pamba za kusafishia vidonda huwandaliwa na hospitali husika. Zinachukuliwa pamba safi na zinawekwa kwenye autoclaves for sterilization
Tunazungumzia viwanda , hiyo pamba mpaka imefika hapo hospitali inakuwa imetoka shambani au kiwandani ? Ni kiwanda gani ?
 
Ha haaaaaa. Huyo mkurugenzi aache kazi aliyo nayo,ajiunge na wasanii wa comedy ili atuchekeshe vizuri .
 
Nikweli mkuu, awamu ya uchumi wa viwanda, si umeona ule mdori wa ndege ulioundwa na serikali ya viwanda kupitia kwa mjasiliamali kule Tunduma, na Jana imetua kia na imepeleka majeluhi wa ajali kule kalatu.
 
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ( Costech ) , Dr Hassan Mshinda .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake , nchi iliyoshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda , ikiweza kutengeneza ndege ( hata kama ni Vishada ) , itakuwa hatua kubwa mno !

!
!
Ulitakiwa kumuamsha itakuwaje alikuwa anaota
 
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ( Costech ) , Dr Hassan Mshinda .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake , nchi iliyoshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda , ikiweza kutengeneza ndege ( hata kama ni Vishada ) , itakuwa hatua kubwa mno !

Hivi Baiskeli nazo tumeanza kutengeneza?????kbl hatujafika huko kwenye Midege??????????
 
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ( Costech ) , Dr Hassan Mshinda .

Chanzo - Mwananchi .

Mytake , nchi iliyoshindwa kutengeneza hata pamba ya kuoshea vidonda , ikiweza kutengeneza ndege ( hata kama ni Vishada ) , itakuwa hatua kubwa mno !
Bora hata asiwepo rubani maana huyo atakayeingia humo ndani atarajie majanga
 
Drone inawezekana kutengenezwa hata uraiani ,tatzo ni ukiritimba uliopo nchini kwetu,watu wengi walishajaribu ila inafika mahali serikali inawakwamisha,km wanaojaribu wangeendelezwa tungekuwa na ndege zetu,ni rahisi tu
 
Back
Top Bottom