Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,855
- 14,368
Shida matajiri wengi wa bongo wamepiga pesa za walipa kodi Wala hoi nyingi sana kwa kutumia ujinga, ulafi na migongo ya wanasiasa wachache
Mtu anaanzisha kampuni uchwara, anaingia Mikataba ya mabilioni ya pesa ambayo hata haieleweki wanagawana na watu wa serikali
Kama hao kina Seth ni majambazi tu hapo magufuli Nampa big up