rav4 ni short chassis? yenye sunroofRav4 tuna only vvti engine kwa sasa.
Toyota fielder 2008 bei kamili 20.7 million.
2000 and aboveya mwaka gani mkuu
Au canter mahitaji kama spareNawezapata pata spare mfano halfcut ya fuso
rav4 old model 1995-1999- Bei 16 MillionMkuu Rav4 Old model Nyeusi..
Zile wanaziita za wazee Ni Bei Gani.???
Na sifa zake(am not familiar na magari ila nataka liwe gari langu la kwanza next month)..
Na pia Swift ya Silver bei gani.??
Na sifa zake.?
Na kati ya Swift Na Passo Ipi Bore?(Kudumu,Mafuta,Ukisasa)..
Nashukuru Mkuu..rav4 old model 1995-1999- Bei 16 Million
suzuki swift its the best, bei kuanzia 11m
swift ina body ngumu kiasi compare na passo, hicho ndio kikubwa zaidi but katika ulaji wa mafuta tofauti ni ndogo sana labda upate passo yenye 3piston amabyo mafundi wengi wanasema sio nzuri kwa mazingira yetu,Nashukuru Mkuu..
Napata Rangi Nyeusi.?
Hujanambia Tofauti Ya Swift Na Passo Mpaka useme ni best..