manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,731
Hakika majuto ni mjukuu laiti dada huyo angejua hapo ndipo pangekuwa mwisho wa matokeo ya hayo madawa(kama ni kweli) asingethubutu hata kuyasogelea, Dada zetu mliobaki chukueni hii kama funzo na mjiamin jinsi mlivyo maana hata sisi wanaume si wote tunaopenda kina dada mafutu futu...Wengine tunapenda walio slim so subiri utapata wa hali yako kwa jinsi ulivyo tu...Cha msing ujiamini..