sungusungu
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 3,055
- 718
Mbona hapo kwenye avatar una watoto wawili unajuta nini?Mke wangu ametumia kitanzi, kwa kweli tunajuta
Mbona hapo kwenye avatar una watoto wawili unajuta nini?Mke wangu ametumia kitanzi, kwa kweli tunajuta
Punguza tamaa za mwili tumia calendar au condomSasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
Mkuu unajuta nini wakati hapo kwenye avatar una watoto wanne?Mke wangu ametumia kitanzi, kwa kweli tunajuta
Calendar haizingui hata siku moja wewe mwenyewe ndo unajizingua una tatizo la kusahau sahau jilaumu mwenyewe kwa hiloMy dear calendar inazinguaga sometimes. Condom nayo mtihani jamani maana yango na yango mpango mzima.
Sawa mkuuCalendar haizingui hata siku moja wewe mwenyewe ndo unajizingua una tatizo la kusahau sahau jilaumu mwenyewe kwa hilo
Sio kwamba hizi njia zinazua fertilization isi take place ....... Maana wanasema ukibeba mimba haifanyi kazi tena ila inazuia ubebajiNjia zote hizo hufanyakazi baada ya yai kurutubishwa hvy in uuwaji kwn uhai unaanza pale yai NA mbegu zinapo kutana sekunde hyhy kama unatumia acha kabisa
Asante kwa mkuuNi uuaji kwa maana kwamba mimba huwa inatungwa lakini inaharibika katika hatua za mwanzo kabisa hasa kwa wanaotumia kitanzi na ndio maana hata wakati wa period damu huweza kutoka nyingi kuliko ilivyokuwa mwanzo
Hivi we huwaga ni she? Sorry mkuu
Ok mkuu..Witnessj.
Nadhani kilichokufanya ukauliza swali hilo ni hiyo comment yangu uliyoinukuu na hasa pale niliposema "I have been using this". Ila siku zingine zote na hakika umekuwa ukiamini mimi ni " MALE" isipokuwa kwenye bandiko hilo limekuleta perception tofauti.
Anyway, kwa kujibu swali lako ni kwamba mimi ni dume au waweza kusema "ZAGAMBA"
Hiyo njia tumekuwa tukiitumia mimi na partner wangu, akiitumia yeye ni sawa na mimi nimeitumia kwa sababu tunaitumia wote.
issue hapo ni kumwaga njee tuu hakuna namna ,mbona mimi ndio njia yangu hiyo wazungu wakikaribia tuu nachomoa namwaga nje kwa kuichomeka ktkkt ya matiti .Sasa tutatumia nini jamani? Maana hayo ya wazungu kweli yanaside effects mbaya kabisa, hakuna njia ya asili nyingine ukiacha calendar?
condom za sasa hivi sio kabisa yaani zina harufu nzuriiiii ila yawezekana yale mafuta yake kuna bacteria wamewekwa yaani lazima utoke na UTI sugu kama sio ugumba,siziamin kabisaTumia kondomu...
Mkuu yule mwanamke mpaka namwonea huruma sana. Alikua mamsap wangu kabla hajaolewa, akaja akaolewa. Ndoa hata mwaka haijaisha imevunjika, sasa hivi yupo single tu. Mimi sijaowa, ila huwa tunapasha kiporo chetu mara nyingi sana. Weekend zangu huwa zinaishia kwake hata kulala sometimes huko huko. Anajua nina mchumba uzuri hayupo mkoa nilipo mimi. Anatamani nimuowe lakini ndio hivo tena.