At the end fahari ya mwanamke ni mwanaume

Nwaigwe

Umesema vema, si kweli kwamba navutia upande mmoja lakini ukiangalia kati ya wanawake na wanaume, wanawake ndio wamekuwa mstari wa mbele kutetea single family ilihali mioyo inawauma sema wanakuwa hawana cha kufanya coz tym ishaenda.

Kuhusu upendo wa dhati si kweli kwamba wanaume wamekuwa waongo, hivi vitu vinategemeana, lakini wanawake wamekuwa too demanding for material things than really love. Ili kwenda sawa mume anaanza kufake. All ni all the family should remain as entittled by God.
 
Last edited by a moderator:
KikulachoChako

Uko sahihi mkuu lakini kwa akili za mama zetu, ukimpenda sana anakuona we boya utafua chupi, sidiria, utadeki nymba vyombo utaosha.
Mwanamke akitambua nafasi yake ktk familia nafasi ya mumewe kama alivofundwa kwenye unyago na ya kitchen party akayapotezea ndoa itasonga tu coz pia mwanaume atajivunia kuwa na mke bora.
 
Last edited by a moderator:
KikulachoChako

Maneno kuntu haya kwa kauli yako hii mkuu,basi wanaume ni wachache mno!!anyway naunga mkono hoja!
 
Last edited by a moderator:
Haika

Yaani na mimi nmekuelewa vizuri best sana tu ndo maana nikakujibu hivyo yamkini mume uliekuwa umempata ni zaidi ya shida bora upweke ulionao lakini mume ambae ni mwanamume ndie ambae wenzio tunajivunia na ndo maana nimekujibu hivyo.
 
Last edited by a moderator:
lekha unjwego gwee!!.... Siku hizi pande zote mbili hazieleweki wanawake wenyew wamekuwa wasanii balaa wamesahau kuwa wanaleta usanii kwenye jumba la sanaa

Ha hahaha Mma nga na mnjwego une, ngujhobha sya naloli, Abhanyambala bha masiku agha bhaka bhandu!! sio wote ila baadhi ni heri ujitwishe gunia la misumari.
 
Ha hahaha Mma nga na mnjwego une, ngujhobha sya naloli, Abhanyambala bha masiku agha bhaka bhandu!! sio wote ila baadhi ni heri ujitwishe gunia la misumari.

Ugwe tasi ngulalusye... Ulinunnyambala au ulinkhenja?
 

hata aje na hoja 2000 lakn kweli itasimama milele daima. Hata yeye analijua hilo lakn hapa anachangamsha jukwaa tu

lara 1 unaitwa huku uje mara moja

Ahhhh yani hadi saa hii Lara 1 hajafika hapa!!! wewe uliyemshikilia Lara 1 chonde chonde mwachie japo dakika 1 tu....anahitajika humu

LIFE IS HOW YOU PERCEIVE IT!!!!!!!!!!:juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle::juggle: Kama mtu anaona kutombeka buree,kufujwaa, anashinda kavaa mitumba, Dubai anaisikia tuuu, passport hana, kwake yeye hizo FREE P za mumewendo maishaaa well what can i say?????????? IT IS A FREE COUNTRY!!!!!!!!! SOME PEOPLE WHEN THEY DIE IT IS LIKE THEY NEVER LIVED BEFORE!!!!!!!!!

THE WORST THING THAT CAN HAPPEN TO ANY MAN IS BELIEVING HIS OWN LIES!!!!!!!!! Pu.mbu zako ndo unaona ni maisha hayoooooo! HAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA! BIG FAT LIE THAT YOU TELL YOURSELF WHEN YOU GO SLEEP! Like i said ITS A FREE COUNTRY! ALL THE BEST.
 
Mnajifariji tu

Hahahahaaaaaaaaa! WAMESAHAU KUSEMA WANAUME WENYE PESAAAAAAAAAA! Kama pu.mb hata beberu anazooooooooo, tena kubwa na nzito hatariiii! Uongo shogaaaaaaaaa? Hahahhaaaaaaaaaaaaa! Halooooooooooooooo!
 
lara 1

Kila jambo lina wakati wake jitahidi kusoma alama za nyakati na uishi kuendana nazo,ukifka wakati wa kuolewa automatically utajihisi haujakamilika,then you need somebody to hold you tight,some one who will always be there when you need him its just a matter of time.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom