Askofu Ruaichi: Waumini Waombeeni Viongozi Watambue Kuna Njaa

Naina kama vile viongozi wa dini wanaanza kujitokeza kimya kimya
Mi namsubiri huyu
554ffc959e5c0c877989aa13d4f5a139.jpg

Maana na yeye toka habari ya escrow imvae ametulia tuli.
 
Askofu mkuu wa jimbo la Mwanza Mhashamu Thadeus Ruwaichi amewataka waumini wafunge Novena kuliombea taifa juu ya baa la ukame na njaa pia kuwaombea viongozi watambue kuwa BAA HILO LIPO NCHINI KWA SASA.
Amesema hayo katika Parokia ya Pansiasi katika ibada ya kutoa kipaimara kwa vijana wa kikristo.
Kauli hii inatutaka waumini na raia kuwaombea wale viongozi wanaosema hakuna ukame wala njaa kwa vile wameona majani ni ya kijani.
Jee Askofu mkuu naye hajui kuwa mwenye kujua kuwa kuna njaa na ukame ni mtu mmoja tuu na tusubiri mpaka atamke?
Source; Ndani ya Kanisa Pansiasi.
Mkuu unakumbuka Pogba alivyosabbisha uhaba wa sukari akasingizia watu wameficha sukari? Amini mda mfupi atakuja na kisingizio cha ajabu na ndicho tutakapojua uwezo wake wa kufikiri
 
Askofu mkuu wa jimbo la Mwanza Mhashamu Thadeus Ruwaichi amewataka waumini wafunge Novena kuliombea taifa juu ya baa la ukame na njaa pia kuwaombea viongozi watambue kuwa BAA HILO LIPO NCHINI KWA SASA.
Amesema hayo katika Parokia ya Pansiasi katika ibada ya kutoa kipaimara kwa vijana wa kikristo.
Kauli hii inatutaka waumini na raia kuwaombea wale viongozi wanaosema hakuna ukame wala njaa kwa vile wameona majani ni ya kijani.
Jee Askofu mkuu naye hajui kuwa mwenye kujua kuwa kuna njaa na ukame ni mtu mmoja tuu na tusubiri mpaka atamke?
Source; Ndani ya Kanisa Pansiasi.
ndo maana anasema tumwombeee.
 
Ingekua waajiri wake ndonwamesema hivo angewatumbua sasa tusubiri hawa viongozi wa dini atawachukulia hatua gani? Wapinzani anawafunga! Movie nzuri
Atawaambia wanachanganya dini na siasa hivyo wavue majoho
 
Back
Top Bottom